Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile
Azam FC

@azamfc

⚽ The Official Account of Azam Football Club
πŸ† 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
πŸ“… Founded in July 23, 2004.
πŸ“± #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora

ID: 159797294

linkhttps://www.azamfc.co.tz calendar_today26-06-2010 10:45:44

12,12K Tweet

311,311K Followers

19 Following

Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#LastMeeting Mara ya mwisho kukutana na JKT Tanzania, kwenye Uwanja wa Meja Isamuhyo msimu uliopita, tuliondoka na ushindi wa mabao 2-0. Mabao yetu yakifungwa na Abdulsopu na Feisal SalumπŸ‡ΉπŸ‡Ώ! #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora

#LastMeeting Mara ya mwisho kukutana na JKT Tanzania, kwenye Uwanja wa Meja Isamuhyo msimu uliopita, tuliondoka na ushindi wa mabao 2-0.

Mabao yetu yakifungwa na <a href="/abdulsopu9_/">Abdulsopu</a> na <a href="/IamFeisalSalum/">Feisal SalumπŸ‡ΉπŸ‡Ώ</a>!

#nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

🚨 M A T C H D A Y 🚨 πŸ†š JKT Tanzania πŸ† NBC Premier League πŸ—“οΈ Round 1 🏟 Meja Isamuhyo Stadium πŸ•° 4.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora

🚨 M A T C H D A Y 🚨
πŸ†š JKT Tanzania
πŸ† NBC Premier League
πŸ—“οΈ Round 1
🏟 Meja Isamuhyo Stadium
πŸ•° 4.00 PM (E.A.T)

#weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya JKT Tanzania. #nbcpl #round1 #weareazamfc #timuborabidhaabora

#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya JKT Tanzania.

#nbcpl #round1 #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

πŸ—£οΈ "Tunahitaji kupambana, hatupaswi kukata tamaa." Kocha wetu, Youssouph Dabo, mara baada ya mchezo wetu wa kwanza wa #NBPL dhidi ya JKT Tanzania. #weareazamfc #timuborabidhaabora

Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#ContractExtension Kiungo mshambuliaji wetu, Nassor Saadun, ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026 baada ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja. #heretostay #weareazamfc #timuborabidhaabora

#ContractExtension Kiungo mshambuliaji wetu, Nassor Saadun, ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026 baada ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja.

#heretostay #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Azam FC 🀝 AIK Fotboll Azam FC tumeingia mkataba wa miaka mitano ya ushirikiano na AIK Fotboll. Makubaliano hayo yatatoa nafasi kwa wachezaji wetu kupata mafunzo chini ya wataalam waliobobea, na wale watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha AlK. #weareazamfc

Azam FC 🀝 AIK Fotboll

<a href="/azamfc/">Azam FC</a> tumeingia mkataba wa miaka mitano ya ushirikiano na <a href="/AIKfotboll/">AIK Fotboll</a>.

Makubaliano hayo yatatoa nafasi kwa wachezaji wetu kupata mafunzo chini ya wataalam waliobobea, na wale watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha AlK.

#weareazamfc
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

🚨 NEW TECHNICAL BENCH 🚨 Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja. Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

🚨 NEW TECHNICAL BENCH 🚨

Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja. 

Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#OurNewCoaches πŸ”Coaches arrival! πŸ‡²πŸ‡¦πŸ‡²πŸ‡¦πŸ‡²πŸ‡¦πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #weareazamfc #timuborabidhaabora