Big_Nicky✊️ (@big_nicky01) 's Twitter Profile
Big_Nicky✊️

@big_nicky01

N.O.T_A.V.A.I.L.A.B.L.E...💊

ID: 1454536885100023815

calendar_today30-10-2021 19:53:28

106,106K Tweet

5,5K Followers

2,2K Following

Mkushi (@mkushiiii) 's Twitter Profile Photo

Swala la kununiwa Asubuhi kisa jana nililala bila kutuma GudNight , ndio linafanya niachane na watoto wa watu, Mnawezaje Wakuu kila siku? 🥹🙁

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Hekima Mwasipu amesema Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa Chama hicho Boniface Jacob, amekamatwa na Polisi akiwa maeneo ya Sinza na kupelekwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam leo September 18,2024.

Wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Hekima Mwasipu amesema Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa Chama hicho Boniface Jacob, amekamatwa na Polisi akiwa maeneo ya Sinza na kupelekwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam leo September 18,2024.
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Jeshi la Polisi nchini limesema zipuuzwe taarifa za uongo zinazosambazwa mitandaoni kwamba Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ametekwa, bali Jeshi hilo linamshikilia kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo. Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi

#HABARI Jeshi la Polisi nchini limesema zipuuzwe taarifa za uongo zinazosambazwa mitandaoni kwamba <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> maarufu kama Boni Yai ametekwa, bali Jeshi hilo linamshikilia kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi
PASTA JOSHUA⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

A fool sees another man's downfall as a topic of discussion. A wise man sees it a warning to himself. I warned you to stay away from that guy with the beard.

Shababi wa-Shamba (@blazadadee2) 's Twitter Profile Photo

Nimepata mteja wa jiko la umeme humu, ameniambia nitajuaje kama wewe sio tapeli, hebu jirekodi video ukiwa dukani unitumie. Kwani hili jina Shababi na hii avi ya Robben imekaa kitapeli!?😂

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Imagine unatumia nguvu zako kukisaidia kikundi kidogo cha watu kiwe madarakani kienjoi life na familia zao ili kikulipe mshahara mdogo ,kikukalishe kota chafu kikufanyishe na dhambi ukifa unaenda motoni yani unateseka ukiwa hai na ukifa

asmer de unique (@unique_asmer) 's Twitter Profile Photo

Huyu nae imegoma , hapa ananiambia eti hakushiba....!? Sa kusimamisha kitu kidogo nayo unahitaji kula dona kilo100..🙄🙄🙄