BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile
BoomplayTanzania

@boomplaytz

Pata muziki unaoupenda kwa beat moja. #Boomplay Inapatikana Google Play & iOS App Store.

ID: 3695201302

linkhttp://boomplay.lnk.to/download calendar_today18-09-2015 09:31:43

12,12K Tweet

13,13K Followers

1,1K Following

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Tunakuletea kipengele kipya cha #BoomplayDNA ambapo sasa unaweza kupata taarifa za kina kuhusu: 📈 Muda unaosikiliza muziki 📈 Wasanii uwapendao kwa wiki 📈 Rank yako kama shabiki kati ya mashabiki wengine Update app yako ya #Boomplay sasa🔥 #MyBoomplayDNA #ListeningInsights

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

✨BOOMFRESH✨ Kutoka label ya #BadNation, hii ni #2025 kutoka kwa Marioo 🤴🇹🇿 akimshirikisha the new addition Stans 🤴🇹🇿 🔥 Sikiliza kupitia app ya Boomplay hapa ▶ boom.lnk.to/Marioo2025 #BoomFresh #HomeOfMusic #NewMusic

✨BOOMFRESH✨
Kutoka label ya #BadNation, hii ni #2025 kutoka kwa Marioo 🤴🇹🇿 akimshirikisha the new addition Stans 🤴🇹🇿 🔥

Sikiliza kupitia app ya Boomplay hapa ▶ boom.lnk.to/Marioo2025

#BoomFresh #HomeOfMusic #NewMusic
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Katika nyimbo hizi 6 mpya zilizotoka wiki, upi unauchagua kuwa #MkaliWaWiki? Tiririka ⤵️ #HomeOfMusic #TanzaniaCharts #SOTW

Katika nyimbo hizi 6 mpya zilizotoka wiki, upi unauchagua kuwa #MkaliWaWiki?

Tiririka ⤵️

#HomeOfMusic #TanzaniaCharts #SOTW
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Tunakuletea chati ya wiki hii ya nyimbo zilizosikilizwa kwa wingi nchini 🇹🇿 Karibu usikilize chati yenye nyimbo zote 100 kupitia app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/Top100Tz #TanzaniCharts #HomeOfMusic

Tunakuletea chati ya wiki hii ya nyimbo zilizosikilizwa kwa wingi nchini 🇹🇿

Karibu usikilize chati yenye nyimbo zote 100 kupitia app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/Top100Tz

#TanzaniCharts #HomeOfMusic
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio orodha ya wasanii pamoja na albamu zilizosikilizwa kwa wingi kwenye app ya Boomplay wiki hii 🔥 Mtag uliyemsikiliza kwa on repeat 🚀 #HomeOfMusic #Boomplay #WeeklyCharts

Hii ndio orodha ya wasanii pamoja na albamu zilizosikilizwa kwa wingi kwenye app ya Boomplay wiki hii 🔥

Mtag uliyemsikiliza kwa on repeat 🚀

#HomeOfMusic #Boomplay #WeeklyCharts
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

✨MKALI WA WIKI✨ Mashabiki wa muziki wameuchagua wimbo wa #Leo kutoka kwa K2GA ndio mkali wa wiki hii 🔥 Sikiliza hit hii mpya kupitia #Boomplay ▶ boom.lnk.to/K2GALeo #HomeOfMusic #K2GA #KingsMusic #SOTW #MkaliWaWiki

✨MKALI WA WIKI✨
Mashabiki wa muziki wameuchagua wimbo wa #Leo kutoka kwa K2GA ndio mkali wa wiki hii 🔥

Sikiliza hit hii mpya kupitia #Boomplay ▶ boom.lnk.to/K2GALeo

#HomeOfMusic #K2GA #KingsMusic #SOTW #MkaliWaWiki
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

✨BOOMFRESH✨ Pata vibe na banger mpya ya #KinambaNamba kutoka kwake #Billnass akiwa pamoja na G Nako #Whozu #Apoki na Joozey Sikiliza kupitia app ya Boomplay hapa ▶ boom.lnk.to/BillnassKinamb… #BoomFresh #HomeOfMusic #NewMusic

✨BOOMFRESH✨
Pata vibe na banger mpya ya #KinambaNamba kutoka kwake #Billnass akiwa pamoja na G Nako #Whozu #Apoki na Joozey

Sikiliza kupitia app ya Boomplay hapa ▶ boom.lnk.to/BillnassKinamb…

#BoomFresh #HomeOfMusic #NewMusic
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

⭐#JuuNaBoomplay⭐ Baada ya kura za mashabiki wa muziki, mshindi wa Season 1 Episode 3 ni #BukiTz na wimbo wake wa #Ikitokea 🔥 🔝 Sikiliza kupitia playlist ya #KaliZaWiki kwenye app ya Boomplay ▶ Boom.lnk.to/KaliZaWikiHiiP… #HomeOfMusic #BukiTz

⭐#JuuNaBoomplay⭐
Baada ya kura za mashabiki wa muziki, mshindi wa Season 1 Episode 3 ni #BukiTz na wimbo wake wa #Ikitokea 🔥 🔝

Sikiliza kupitia playlist ya #KaliZaWiki kwenye app ya Boomplay ▶ Boom.lnk.to/KaliZaWikiHiiP…

#HomeOfMusic #BukiTz
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

⚠ New Album Alert 📢 Albamu ya 'Queen of The East' kutoka kwake African Popstar, NADIA MUKAMI🇰🇪 sasa imewadia! Hakikisha unasikiliza na kuifurahia kupitia app ya #Boomplay 🔗 Link kwenye bio #HomeOfMusic #NadiaMukami #QueenofTheEast

⚠ New Album Alert 📢
Albamu ya 'Queen of The East' kutoka kwake African Popstar, NADIA MUKAMI🇰🇪 sasa imewadia!

Hakikisha unasikiliza na kuifurahia kupitia app ya #Boomplay 🔗 Link kwenye bio

#HomeOfMusic #NadiaMukami #QueenofTheEast
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

⭐#JuuNaBoomplay⭐ Karibu kwenye Episode 4 na wiki hii ni kati ya #Chatta na wimbo wake wa #ShegaRemix Vs King♣️ na wimbo wake wa #ThisSide 🔥 🔝 Mpigie kura aliyekukosha zaidi kupitia app ya Boomplay ➡ boom.lnk.to/ChattaVsDwin #HomeOfMusic #ChattaTz #Dwin

⭐#JuuNaBoomplay⭐
Karibu kwenye Episode 4 na wiki hii ni kati ya #Chatta na wimbo wake wa #ShegaRemix Vs King♣️ na wimbo wake wa #ThisSide 🔥 🔝

Mpigie kura aliyekukosha zaidi kupitia app ya Boomplay ➡ boom.lnk.to/ChattaVsDwin

#HomeOfMusic #ChattaTz #Dwin
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

✨BOOMFRESH✨ Sikiliza hit mpya na amazing kutoka kwake Nandy akishirikiana na #Billnass kwenye #Totorimi! ❤🔥 Stream kupitia Boomplay ▶ Boom.lnk.to/NandyTotorimi #HomeOfMusic #Nandy #NewMusic

✨BOOMFRESH✨
Sikiliza hit mpya na amazing kutoka kwake Nandy akishirikiana na #Billnass kwenye #Totorimi! ❤🔥

Stream kupitia Boomplay ▶ Boom.lnk.to/NandyTotorimi

#HomeOfMusic #Nandy #NewMusic
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye playlist yako pendwa kutoka kwa wasanii wenye mitindo na sauti tofauti Stream na vibe nayo kupitia app ya Boomplay ▶ Boom.lnk.to/MitaaInaongea Highlighted #licky_tz #xouh Leeroy

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Wimbo upi uliurudia kwa wingi katika chati hii? 💥 Hizi ndio nyimbo zilizoongoza kusikilizwa mwezi Agosti kwenye app ya Boomplay 🔥 Endelea kuusikiliza uupendao uendelee kukaa kwenye chati 🔝 #HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts

Wimbo upi uliurudia kwa wingi katika chati hii? 💥

Hizi ndio nyimbo zilizoongoza kusikilizwa mwezi Agosti kwenye app ya Boomplay 🔥

Endelea kuusikiliza uupendao uendelee kukaa kwenye chati 🔝

#HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio wasanii walioongoza kusikilizwa kwenye mwezi wa nane 2024 🔥 Mtag favourite wako unayemsikiliza sana #HomeOfMusic #TanzaniaCharts

Hawa ndio wasanii walioongoza kusikilizwa kwenye mwezi wa nane 2024 🔥

Mtag favourite wako unayemsikiliza sana

#HomeOfMusic #TanzaniaCharts
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

✨BOOMFRESH✨ New hit in town 🚨 Hii ni #Mazoea kutoka kwake Darassa akishirikiana na Harmonize 🚀🔥 Stream kwenye app ya #Boomplay ▶ boom.lnk.to/DarassaMazoea #Boomplay #HomeOfMusic #Darassa #Harmonize

✨BOOMFRESH✨
New hit in town 🚨 Hii ni #Mazoea kutoka kwake Darassa akishirikiana na Harmonize 🚀🔥

Stream kwenye app ya #Boomplay ▶ boom.lnk.to/DarassaMazoea

#Boomplay #HomeOfMusic #Darassa #Harmonize
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥 Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa nane kwenye app ya Boomplay Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝 #HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts

Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥

Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa nane kwenye app ya Boomplay

Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝

#HomeOfMusic #Boomplay #TanzaniaCharts
BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

⭐#JuuNaBoomplay⭐ Baada ya kura za mashabiki wa muziki, mshindi wa Season 1 Episode 4 ni #Chatta na wimbo wake #Shega akishirikiana na #Prezbeatz & Rapcha🔥 🔝 Sikiliza kupitia playlist ya #KaliZaWiki kwenye app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/KaliZaWikiHiiP… #HomeOfMusic #ChattaTz

⭐#JuuNaBoomplay⭐
Baada ya kura za mashabiki wa muziki, mshindi wa Season 1 Episode 4 ni #Chatta na wimbo wake #Shega akishirikiana na #Prezbeatz & Rapcha🔥 🔝

Sikiliza kupitia playlist ya #KaliZaWiki kwenye app ya Boomplay ▶ boom.lnk.to/KaliZaWikiHiiP…

#HomeOfMusic #ChattaTz