benny (@bro_scolizben) 's Twitter Profile
benny

@bro_scolizben

your real lifetime bro!

ID: 1731950186656657410

calendar_today05-12-2023 08:15:33

1,1K Tweet

365 Followers

1,1K Following

Francis✍️ (@fra_0125) 's Twitter Profile Photo

Mkumbushe mwanao wa karibu hii.... ''Jitahidi sana kuacha maringo maana hakuna aijuae kesho yake,wasaidie hasa watu wenye uhitaji maana unavyomiliki nivya duniani huzikwi ukiwa navyo''

Mkumbushe mwanao wa karibu hii....

''Jitahidi sana kuacha maringo maana hakuna aijuae kesho yake,wasaidie hasa watu wenye uhitaji maana unavyomiliki nivya duniani huzikwi ukiwa navyo''
benny (@bro_scolizben) 's Twitter Profile Photo

Ni vzr sana kuwalindana kuwaheshimu sn mama zet kwan wao ndy baraka kubwa sn kwenye mafanikio yetu na makuzi yetuHivyo tusiwasahau ktk mapambano yetu ili waweze kufurahia matunda ya kutufikisha hapa tulipo leo haijalishi umejipata au bado unajitafta. RTpost hii au ❤kwajil yamama

Ni vzr sana kuwalindana kuwaheshimu sn mama zet kwan wao ndy baraka kubwa sn kwenye mafanikio yetu na makuzi yetuHivyo tusiwasahau ktk mapambano yetu ili waweze kufurahia matunda ya kutufikisha hapa tulipo leo haijalishi umejipata au bado unajitafta.
RTpost hii au ❤kwajil yamama
KAJI. (@kajisijolfc) 's Twitter Profile Photo

Leo nijaribu kufika 10K followers, Weka handle like handle zingine af Repost tukufolo chap All accounts matter let's go