Calvin (@calvin__255) 's Twitter Profile
Calvin

@calvin__255

Concentration is one of my rules💦

ID: 1388339390880100357

calendar_today01-05-2021 03:48:11

1,1K Tweet

198 Followers

712 Following

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

WALIO MTEKA SATIVA NDIYO WALIO MTEKA SOKA NA WENZIE WAWILI..! 1.Ikiwa imetimia saa 48 bila ya Kujulikana alipo Kijana Deusdadit Soka,Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise pasipo kujulikana wapo wapi tangu watekwe na kupotea siku ya juzi tarehe 18 August 2028 majira ya asubuhi

WALIO MTEKA SATIVA NDIYO WALIO MTEKA SOKA NA WENZIE WAWILI..!

1.Ikiwa imetimia saa 48 bila ya Kujulikana alipo Kijana Deusdadit Soka,Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise pasipo kujulikana wapo wapi tangu watekwe na kupotea siku ya juzi tarehe 18 August 2028 majira ya asubuhi
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. Police Force TZ Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA. HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.🤝

Bukujero Elfujero…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Unaangalia chundai unawahi kukitupa halafu jamaa unaemuangalia bado yupo mchezoni, unamaliza unabaki kuzubaa na kushangaa tu kama mwehu 😂🙌

Boniface Chengula (@bohny_chengula) 's Twitter Profile Photo

Utapeli Tegeta Mwisho🔥 Ndugu wafanyabishara wenzangu utapele upo na hizi thread tunaziandika zikufungue na ujue njia mpya za utapeli. Picha linaanza mteja yupo Tegeta mwisho, akapiga simu kwamba anahitaji kufanyiwa delivery ya JBL Boombox3, akasema mtampa namba boda nimuelek…

Utapeli Tegeta Mwisho🔥

Ndugu wafanyabishara wenzangu utapele upo na hizi thread tunaziandika zikufungue na ujue njia mpya za utapeli.

Picha linaanza mteja yupo Tegeta mwisho, akapiga simu kwamba anahitaji kufanyiwa delivery ya JBL Boombox3, akasema mtampa namba boda nimuelek…
Moker 👁️ (@moker___) 's Twitter Profile Photo

jamani kuna wizi umeingia sasaiv madereva wa Boda Boda , Huyo ni Dereva BodaBoda , Kaniibia Simu yangu na Handbag kwa pamoja kakwapua na kuondoka kwa spidi na pikipiki .. Kwa Bahati nzuri sehemu aliyonishusha kulikuwa na CCTV camera , Yoyote atakayefanikiwa kumpata atapata zawadi

jamani kuna wizi umeingia sasaiv madereva wa Boda Boda , Huyo ni Dereva BodaBoda , Kaniibia Simu yangu na Handbag kwa pamoja kakwapua na kuondoka kwa spidi na pikipiki .. Kwa Bahati nzuri sehemu aliyonishusha kulikuwa na CCTV camera , Yoyote atakayefanikiwa kumpata atapata zawadi
VRugaman (@vpabloness) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob Kwa kauli ya mwenyekiti ni kwamba marehemu ALIKUWA MSOMI MZURI KWENYE MILITARY INTELLIGENCY Je, shida ni hiyo taaluma yake kuitumia kwa ajili ya wapinzani?