Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile
Edwin Odemba

@chiefodemba

MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.

ID: 904293679539654656

calendar_today03-09-2017 10:43:08

995 Tweet

31,31K Followers

246 Following

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

“Niliumwa mwezi mzima ndiyo maana sikutoa update (taarifa) ya mchango wa kununua gari kwa wakati, lakini nawashukuru wote waliochangia, kuhusu aina ya gari na ukomo wa fedha, walioanzisha mchango huo watajua” TUNDU LISSU Cc. Edwin Odemba Tundu Antiphas Lissu

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

“Walionishambulia kwa risasi watajulikana tu CCM itakapoondoka madarakani maana ni aibu kubwa kwa Taifa na kwa Rais Samia, Mbunge kushambuliwa kinyama kwa risasi akiwa kwenye majukumu yake ya ubunge inauma sana, Na gharama zangu za matibabu zitalipwa tu hata nikifa warithi wangu

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

“Nimeondoa pingamizi dhidi ya ushindi wa Mwabukusi, Alishinda kihalali na namtambua kama Rais halali wa TLS” SWEETBERT NKUBA - ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS- TLS 2024. Edwin Odemba

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi ya wiki hiii yaani tarehe 31/08/2024 kuanzia saa 3:30 Usiku, Odemba ataendesha mdahalo wa Makatibu wakuu wa vyama ya siasa vya hapa Tanzania. Vyama vitakavyo kuwepo ni pamoja na CCM, CHADEMA, ACT, NCCR na CUF. Nami nitakuwa Live kuwaletea yote yatakayokuwa yanaendelea.

Jumamosi ya wiki hiii yaani tarehe 31/08/2024 kuanzia saa 3:30 Usiku, Odemba ataendesha mdahalo wa Makatibu wakuu wa vyama ya siasa vya hapa Tanzania. Vyama vitakavyo kuwepo ni pamoja na CCM, CHADEMA, ACT, NCCR na CUF.  Nami nitakuwa Live kuwaletea yote yatakayokuwa yanaendelea.
Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

“Matukio ya utekaji ni ya kulaaniwa, niwaombe vyombo vya ulinzi na usalama kusimama imara na kuhakikisha kwamba wanachakua hatua za haraka pale uhalifu utaporipotiwa” Wakili Nkuba Edwin Odemba

Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu ACTWazalendo Ndg. Ado Shaibu atashiriki. Usikose kufuatilia mdahalo huu wa aina yake utakaoongozwa na Ndg. Edwin Odemba kupitia #MedaniZaSiasa #StarTV #Miezi10 #WanachamaMilioni10 #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Katibu Mkuu ACTWazalendo Ndg. Ado Shaibu atashiriki.

Usikose kufuatilia mdahalo huu wa aina yake utakaoongozwa na Ndg. Edwin Odemba kupitia #MedaniZaSiasa #StarTV

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

MDAHALO WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA SIASA NCHINI. Kwa wale wanaotaka kuhudhuria ukumbini Bado kuna nafasi ya watu 50 pekee, thibitisha ushiriki wako, kwa kutuma majina yako kwa WhatsApp namba 0766662533, kupata pascode yako. KARIBUNI NYOTE.

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

MDAHALO WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, KARIBUNI SANA. 31/08/2024, Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kuanzia saa 3:00 Usiku hadi saa 6:00 Usiku. Cc. Edwin Odemba

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

Mdahalo wetu wa Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa ni kesho Jumamosi Tarehe 31/08/2024, saa 3:00 Usiku. CCM Chama Cha Mapinduzi Dr Emmanuel Nchimbi , CHADEMA CHADEMA Tanzania Katibu Mkuu MNYIKA John John , ACT WAZALENDO ACTWazalendo Katibu Mkuu Ado Shaibu CUF - Katibu Mkuu, Ahmad Masoud. NCCR

Mdahalo wetu wa Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa ni kesho Jumamosi Tarehe 31/08/2024, saa 3:00 Usiku.

CCM Chama Cha Mapinduzi Dr Emmanuel Nchimbi , CHADEMA CHADEMA Tanzania Katibu Mkuu MNYIKA John John ,
ACT WAZALENDO ACTWazalendo Katibu Mkuu  Ado Shaibu
CUF - Katibu Mkuu, Ahmad Masoud.
NCCR
Ndolezi (@ndolezi_petro) 's Twitter Profile Photo

Hii si ya Kukosa ni Kesho Katika Ukumbi wa New Library, Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam kutana na Edwin Odemba na Makatibu Wakuu wa Vyama na bila kusahau Katibu Mkuu wa chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Ado Shaibu atakuwepo kwenye podium

Ado Shaibu (@adoshaibu) 's Twitter Profile Photo

Leo nitashiriki Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa ACT Wazalendo, CCM, Chadema, CUF na NCCR Mageuzi utaorushwa live na Star TV kuanzia saa 3.30 usiku. Kama mjuavyo, mwendesha shughuli, Edwin Odemba huwa hana shughuli ndogo! Usikose kufuatilia.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hii ni leo, Maktaba Mpya, UDSM. Kuna kila dalili Katibu Mkuu wa MaCCM akalaza mshale au kutuma mwakilishi (Edwin Odemba usikubali). #EmmanuelNchimbi, wananchi tunataka kuona ukijitokeza mwenyewe katika mdahalo na upambane kwa hoja nzito na SGs wenzako (MNYIKA John John na Ado Shaibu).