DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile
DOCHA 

@alugandu

Digital Marketing || Marketer || Brand promoting || @ManCity || @SimbaSCTanzania || @FCBarcelona||Content creator|| Driver || Ambassador @Pichanzurii

ID: 1249594614543200257

calendar_today13-04-2020 07:06:01

293,293K Tweet

55,55K Followers

7,7K Following

Sally Brown🌷 (@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati wa kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kwa riba nafuu kutoka kwa Soft Finance #MpangoPesa ndani ya dakika 45 unapatiwa kwa masharti mepesi kabisaa .

Ni wakati wa kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kwa riba nafuu kutoka kwa <a href="/softfinancetz/">Soft Finance</a> 

#MpangoPesa ndani ya dakika 45 unapatiwa kwa masharti mepesi kabisaa .
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati kupitia Machemba Jr Mungu alinifunza mambo makuu mawili. 1. Kuamini yy ni mkuu sana hakuna gumu lolote kwake, 2. Kuheshimu kila mtu kwani hata yule unayemuona ni mdogo sana ana nafasi kubwa kwenye maisha yako. Siku moja nitawaeleza namna Mungu aliwahi kusema nami🙏

Kuna wakati kupitia Machemba Jr Mungu alinifunza mambo makuu mawili.
1. Kuamini yy ni mkuu sana hakuna gumu lolote kwake,
2. Kuheshimu kila mtu kwani hata yule unayemuona ni mdogo sana ana nafasi kubwa kwenye maisha yako.
 
Siku moja nitawaeleza namna Mungu aliwahi kusema nami🙏
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Mzungu amekunywa Azam Energy Drink akiwa DRC haamini macho yake. Azam Energy ni kinywaji maarufu sana kwenye baadhi ya nchi zinazozunguka Tanzania.

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Una graduation lakini budget ya suti ni kipengele ?, usijali njoo suit_mseleleko upate suti kali tena original zenye mitindo tofauti kwa shilingi 180,000 tu. Chimbo la suti kali, original na accessories !. >Three pieces(koti, suruali na kizibao): 180,000 >Shirt: 30,000 >Chain:

Una graduation lakini budget ya suti ni kipengele ?, usijali njoo <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> upate suti kali tena original zenye mitindo tofauti kwa shilingi 180,000  tu. Chimbo la suti kali, original na accessories !.

&gt;Three pieces(koti, suruali na kizibao): 180,000

&gt;Shirt: 30,000
&gt;Chain:
Jessie J🌺 (@mrs_pappi) 's Twitter Profile Photo

Nani nimpe kiwanja Bagamoyo - Makurunge Upande ule wa kuelekea saadan Wale wa Moshi , Arusha ,Tanga mradi upo karibu na barabara ya mabasi Nakupa kiwanja na HATI🙌 Mwenye 250,000 nimpe 800SQM (32mX25m) Mwenye 125,000 nimpe 400SQM (16x25) 0745124138 PlzRT

Nani nimpe kiwanja Bagamoyo - Makurunge
Upande ule wa kuelekea saadan
Wale wa Moshi , Arusha ,Tanga mradi upo karibu na barabara ya mabasi 
Nakupa kiwanja na HATI🙌
 
Mwenye 250,000 nimpe 800SQM (32mX25m)

Mwenye 125,000 nimpe 400SQM (16x25)

0745124138
PlzRT
DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

Wakenya Waache Kupambana Kupata Unga Wa Ugali Ndo Mnategemea Wapambane Wapate Point 3 Kwa Al Ahly Kweli..!?😂😂😂

Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua Mradi wa Miji 28 Chato mkoani Geita. Mradi una thamani ya shilingi Bilioni 38 na unatekelezwa na Mkandarasi kampuni ya AFCON kutoka India. #MamaYukoKazini

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua Mradi wa Miji 28 Chato mkoani Geita.
Mradi una thamani ya shilingi Bilioni 38 na unatekelezwa na Mkandarasi kampuni ya AFCON kutoka India.

#MamaYukoKazini
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa kuna visima 67,000 vilivyojengwa na mabwawa 100 ya umwagiliaji yaliyojengwa. Lengo ni kuhakikisha hatutegemei mvua pekee katika kilimo. #MamaYukokazini

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa Sh. bilioni 10.9 kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kisasa la wagonjwa wa nje litakalokuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa 1,000 kwa siku katika Taasisi ya tiba ya mifupa na ubongo Muhimbili (MOI). #MamaAnafanikisha

Serikali imetoa Sh. bilioni 10.9  kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kisasa la wagonjwa wa nje litakalokuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa 1,000 kwa siku katika Taasisi ya tiba ya mifupa na ubongo Muhimbili (MOI).

#MamaAnafanikisha
Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Je wajua? Ili kuimarisha utoaji wa huduma za ugani kwa wakulima serikali imenunua pikipiki 5,889 zilizokabidhiwa kwa maafisa ugani katika Halmashauri 166. #Mamayukokazini

Je wajua?

Ili kuimarisha utoaji wa huduma za ugani kwa wakulima serikali imenunua pikipiki 5,889 zilizokabidhiwa kwa maafisa ugani katika Halmashauri 166.

#Mamayukokazini