Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile
Tanzania Investment Centre

@investtanzania

First point of call for all investors interested to invest in Tanzania. Established to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania.

ID: 918730351475875840

linkhttp://www.tic.go.tz calendar_today13-10-2017 06:49:19

1,1K Tweet

26,26K Followers

339 Following

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinashiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Forum on China-Africa Cooperation - FOCAC) ulioanza tarehe 4 hadi 7 Septemba 2024 Jijini Beijing, China. Ujumbe wa Tanzania katika

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinashiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Forum on China-Africa Cooperation - FOCAC) ulioanza tarehe 4 hadi 7 Septemba 2024 Jijini Beijing, China. 

Ujumbe wa Tanzania katika
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Exciting Developments in Tanzania! The Tanzania Investment Centre (TIC) recently engaged in productive bilateral discussions with a delegation from Henan province, led by Vice Governor Mr. Liu Yujiang and the Vice Mayor of Puyang Municipal People's Government. The talks

Exciting Developments in Tanzania! 

The Tanzania Investment Centre (TIC) recently engaged in productive bilateral discussions with a  delegation from Henan province, led by Vice Governor Mr. Liu Yujiang and the Vice Mayor of Puyang Municipal People's Government. 

The talks
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam 📍| 10.09.2024 🗓️ TIC tunashiriki Mkutano wa Wataalam wa Uvuvi wa Bahari na Maji Baridi kutoka Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) unaoendelea jijini Dar es Salaam. Katika Mkutano huo TIC ina Banda la Maonesho ambapo inaendelea na

Dar es Salaam 📍| 10.09.2024 🗓️

TIC tunashiriki Mkutano wa Wataalam wa Uvuvi wa Bahari na Maji Baridi kutoka Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) unaoendelea jijini Dar es Salaam.

Katika Mkutano huo TIC ina Banda la Maonesho ambapo inaendelea na
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

TIC imefika Mkoa wa Kigoma na kukagua mradi wa Kasulu Sugar unaomilikiwa na Mufindi Paper Mills Ltd. Huyu ni mwekezaji wa kimkakati maalum. Mradi huu uko kwenye hatua ya kusafisha mashamba na anakamilisha miundombinu kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya drip irrigation.

TIC imefika Mkoa wa Kigoma na kukagua mradi wa Kasulu Sugar unaomilikiwa na Mufindi Paper Mills Ltd. 

Huyu ni mwekezaji wa kimkakati maalum. Mradi huu uko kwenye hatua ya kusafisha mashamba na anakamilisha miundombinu kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya drip irrigation.
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Tumeshiriki katika hafla ya uzinduzi wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara na Nyenzo za Usimamizi wa Uwekezaji nchini. Hafla hiyo, iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 11 Septemba, 2024.

Tumeshiriki katika hafla ya uzinduzi wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  na Nyenzo za Usimamizi wa Uwekezaji nchini. 

Hafla hiyo, iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 11 Septemba, 2024.
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Don't miss the India-Tanzania Investment Forum this October! Join us in Haridwar (13-16), Jaipur (17-19), and Mumbai (20-23) to explore new markets and forge strategic partnerships. Unlock exciting investment opportunities and drive your business forward!