EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile
EWURA Tanzania

@ewuratanzania

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) | Udhibiti wa sekta mtambuka za Nishati (Umeme, Petroli, Gesi Asilia) na Maji na Usafi wa Mazingira

ID: 1111174969927573505

linkhttp://www.ewura.go.tz calendar_today28-03-2019 07:55:32

1,1K Tweet

2,2K Followers

130 Following

EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile Photo

#MwitowaMaoni: Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, mtu yeyote mwenye #maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya #leseni, kwa maombi tajwa👇 atume kwa maandishi EWURA Tanzania ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya taarifa hii. #mwitowamaoni #udhibiti

#MwitowaMaoni: Taarifa inatolewa kwa umma kwamba,  mtu yeyote mwenye #maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya #leseni,  kwa maombi tajwa👇 atume kwa maandishi EWURA Tanzania ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya taarifa hii.
#mwitowamaoni #udhibiti
EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwongozo wa Usimamizi wa Huduma za Majitaka na Topekinyesi kwa lugha ya Kiswahili, ulizinduliwa 20 Agosti 2024. ✓ewura.go.tz/2024/08/20taar… Lengo la mwongozo huu ni kuziongoza Mamlaka za Maji nchini kutoa huduma ya usimamizi wa #topekinyesi kwa wananchi walio nje ya mtandao wa

EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile Photo

#MWITOWAMAONI: Mtu yeyote mwenye #maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya #leseni na jina la kituo cha #mafuta atume kwa maandishi EWURA Tanzania ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kutangazwa taarifa hii. Tuma maoni/pingamizi kwa: Mkurugenzi Mkuu,

#MWITOWAMAONI:  Mtu yeyote mwenye #maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya #leseni na jina la kituo cha #mafuta atume kwa maandishi EWURA Tanzania ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kutangazwa taarifa hii.
Tuma maoni/pingamizi kwa:
Mkurugenzi Mkuu,
EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile Photo

#MwitowaMaoni:Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye #maoni au #pingamizi kuhusu maombi ya #vibali vya #ujenzi wa #vituo vya kujaza gesi #asilia kwenye #magari kutoka kwa Tembo Energies Limited, Victoria Services Station na Energo Tanzania Limited, awasilishe maoni hayo kwa

Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki(Mwezeshaji) akitoa muhtasari wakati wa hafla ya utoaji vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya viongozi wa mamlaka za maji, juu ya uboreshaji wa utendaji na utafutaji wa vyanzo vya fedha. Hafla hiyo imefanyika leo katika Wizara ya Maji chini ya Waziri wa

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akizungumza katika hafla ya utoaji vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya viongozi wa mamlaka za maji, juu ya uboreshaji wa utendaji na utafutaji wa vyanzo vya fedha. Hafla hiyo imefanyika leo katika Wizara ya Maji chini ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.Leo

#TATHMINI: Jopo la Wataalam na Watendaji kutoka taasisi za udhibiti NERSA_ZA Energy and Petroleum Regulatory Authority ERA Uganda PURC Ghana Electricity Control Board Namibia wanatathmini utendaji wa EWURA Tanzania kwa kuangazia masuala ya utawala wa sheria, nyenzo za udhibiti na athari zake kwenye huduma ya #umeme nchini. Tathmini

#TATHMINI: Jopo la Wataalam na Watendaji kutoka taasisi za udhibiti NERSA_ZA Energy and Petroleum Regulatory Authority ERA Uganda PURC Ghana Electricity Control Board Namibia wanatathmini utendaji wa EWURA Tanzania
kwa kuangazia masuala ya utawala wa sheria, nyenzo za udhibiti na athari zake kwenye huduma ya #umeme  nchini. Tathmini
EWURA Tanzania (@ewuratanzania) 's Twitter Profile Photo

EWURA inawakumbusha wamiliki wote wa vituo vya mafuta kuzingatia matakwa ya Kanuni Namba 27 kwa kutoruhusu uuzwaji wa mafuta ya petroli kwenye vifaa visivyoruhusiwa kuchukulia/kuhifadhia mafuta kama vile madumu, chupa za aina zote na vifaa vingine visivyoruhusiwa kisheria.