Fuba (@immrmusic) 's Twitter Profile
Fuba

@immrmusic

Musician from East Africa Tanzania. Singer| Song Composer| Music Producer
WhatsApp No. +255688124343

ID: 1416157283843723267

linkhttps://youtu.be/HfJfN8kiaIA calendar_today16-07-2021 22:06:47

3,3K Tweet

210 Followers

513 Following

Fuba (@immrmusic) 's Twitter Profile Photo

youtube.com/playlist?list=… Hii ni album yakwanza kutoka kwa msanii changa ambae ndio kwanza anaanza game ila balaa alilofanya humu ndani utadhani anamiaka 10 kwenye muziki unaweza usiamini nchosema ila sikiliza Kisha utaniamini nacho maanisha #Surprisealbum #jaysmile #sktonerecords

Fuba (@immrmusic) 's Twitter Profile Photo

Kujua anajua ila wabongo tulivyo na roho mbaya tunaenda kumpost mond au harmonize badala ya kupost vijana wanao jitafuta ayah nimewaletea kijana huyoo youtu.be/du1w8Qqh3uM?si…

Fuba (@immrmusic) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wanaojua muziki naombeni mnisaidie kumsikiliza huyu kijana kwanza kanishangaza kaanza na album naikiwa bado mpya kwenye game youtube.com/playlist?list=…

Fuba (@immrmusic) 's Twitter Profile Photo

A. Roma kaachia album ila kiuhalisia sio Kali sema kwa sababu ya jina tuu ila hamna kitu. B.Hii ni moja ya ngoma inayopatikana katika album ya huyu jamaa jaysmile kiukweli Japokua Hana jina ila balaa alilofanya Kama angekua na jina angeimbwa kitaa sana youtu.be/du1w8Qqh3uM?si…