Finn (@its_finnx) 's Twitter Profile
Finn

@its_finnx

We Jichanganye...!๐ŸŒ๏ธ

ID: 3869474811

calendar_today05-10-2015 08:39:11

126 Tweet

57 Followers

710 Following

Brenda Rupia Jonas (@breejonas6) 's Twitter Profile Photo

Hakika taifa letu linahitaji ukombozi.Ukomobozi wa kifikra na uhuru wa kweli,ukombozi usiojua mipaka ya taarifa,mipaka ya ukweli,mipaka ya udhubutu wa vijana wetu.Nitoe rai kwa watanzania wote wanao umizwa na matendo mabaya ya serikali,tujitikeze kwa uwingi wetu. #Tutaandamana.

Hakika taifa letu linahitaji ukombozi.Ukomobozi wa kifikra na uhuru wa kweli,ukombozi usiojua mipaka ya taarifa,mipaka ya ukweli,mipaka ya udhubutu wa vijana wetu.Nitoe rai kwa watanzania wote wanao umizwa na matendo mabaya ya serikali,tujitikeze kwa uwingi wetu.
#Tutaandamana.
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hii morale iliopo YANGA ni balaaโ€ฆ Mudathir anafunga goli la nneโ€ฆ lakini wanawahisha mpira kati๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Gamondi na yeye anawaambia waangalie muda bado magoli hayajatosha ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ Hakuna kupoteza mudaโ€ฆ Simba kule wanashangilia DRAW- LEVELS๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Afrika nzima hakuna timu yoyote ile inayotamani kupangwa kundi moja na hii YANGA ya sasa. Ukweli usemwe WATANI wanatimu nzuri na tishio mnoo, ninawaona nusu fainali au fainali kabisa ya Champions league.

Afrika nzima hakuna timu yoyote ile inayotamani kupangwa kundi moja na hii YANGA ya sasa. Ukweli usemwe WATANI wanatimu nzuri na tishio mnoo, ninawaona nusu fainali au fainali kabisa ya Champions league.
KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Nakumbuka Kipindi Chama anahamia Yanga Kuna Mashabiki wa Simba Wengi walisema ni Bora tu huyu Jamaa ametuachia Team yetu kwani alfanya team Nzima ikawa inamtegemea yeye. Kuna Mashabiki wakasema Ni Afadhari tu kwanza kashaakuwa Mzee Hana Uwezo kama ule wa Zamani. Kinachoonekana

Nakumbuka Kipindi Chama anahamia Yanga Kuna Mashabiki wa Simba Wengi walisema ni Bora tu huyu Jamaa ametuachia Team yetu kwani alfanya team Nzima ikawa inamtegemea yeye.

Kuna Mashabiki wakasema Ni Afadhari tu kwanza kashaakuwa Mzee Hana Uwezo kama ule wa Zamani.

Kinachoonekana
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FT: Yanga Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 6๏ธโƒฃ โž– 0๏ธโƒฃ CBE ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Msimamo wa Kibunda cha Mama โžก๏ธ Yanga Sc - Tshs Milioni 85 โžก๏ธ Azam Fc - Tshs Milioni 5 โžก๏ธ Simba Sc - 0 โžก๏ธ Coastal Union - 0

FT: Yanga Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 6๏ธโƒฃ โž– 0๏ธโƒฃ CBE ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น

Msimamo wa Kibunda cha Mama
โžก๏ธ Yanga Sc - Tshs Milioni 85
โžก๏ธ Azam Fc - Tshs Milioni 5
โžก๏ธ Simba Sc - 0
โžก๏ธ Coastal Union - 0
REMIJA CLATOUS CHOTA CHAMA (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Nimeshangazwa na Yanga jana, zaidi nimeshangazwa na Mudathir Yahaya Abbas dakika ya 88 anaokota mpira ku nyavu na kukimbilia kati. ๐Ÿ˜ณ Ikajirudia dakika ya 93 akafanya kuhamasisha wenzake twendeni kati haraka. 6-0 bado timu inataka zaidi magoli. MENTALITY! ๐Ÿ

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kweli uchawi upo aiseee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ Magoli gani haya Simba anafunga๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Yaani hakuna move yoyoteโ€ฆ unashangaa tu from nowhere nyavu inatikisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Kuingia Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Young Africans Sports Club imejihakikishia kiasi cha DOLA 700,000 [Zaidi ya TSH 1.9 BILIONI] kutoka CAF. Klabu Kubwa, Mashindano Makubwa, Hela ya Kutosha๐Ÿ‘๐Ÿ”ฐ

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Anachomaanisha tapeli wa kutumia mafuta na maji ni kwamba, maandamano ya kupinga utekaji yanaharibu utukufu wa Mungu lakini utekaji na mauaji ya raia vinatimiza utukufu wa Mungu? Kweli, tapeli ni tapeli tu. Tumemuacha awatapeli mama na wake zetu, bado anatufuata kwenye harakati.