๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile
๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š

@mtumwawayesu

Christian Musician and composer | Teacher (literature in English) and Swahili language | Husband of one wife | Sisi tu watumwa wasio na faida -Luka 17:10

ID: 4448224168

calendar_today11-12-2015 12:05:09

14,14K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

Nchi yangu nakulilia ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Kila kukicha nasikia sauti na vilio vya damu za watu Wengine kutekwa Wengine kubakwa na kuingiliwa kinyume maumbile (akiwemo home girl na mtoto wake) Moyo wangu unaumia sanaa Kila afanyaye ubaya huu utamrudia Mungu tujulishe kuzihesabu siku zetu๐Ÿ˜ข

Nchi yangu nakulilia ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Kila kukicha nasikia sauti na vilio vya damu za watu

Wengine kutekwa

Wengine kubakwa na kuingiliwa kinyume maumbile (akiwemo home girl na mtoto wake) 

Moyo wangu unaumia sanaa

Kila afanyaye ubaya huu utamrudia

Mungu tujulishe kuzihesabu siku zetu๐Ÿ˜ข
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

HITAJI KUU LA ULIMWENGU WA LEO: Ellen G White. Education, UK 57. Cont'd... watu ambao dhamiri zao zinawajibika kwa jukumu kama vile sindano ya dira inavyowajibika kwa kaskazini,watu ambao watasimama kuutetea ukweli hata kama mbingu zianguke".

Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 142:1,3-7 [1]Kwa sauti yetu tunakulilia BWANA, Kwa sauti wote tunakuomba BWANA dua. [3]Tumezimia roho unayajua mapito yetu; Katika njia tuendayo wametufichia mitego. [4]Utazame mkono wa kuume ukaone, Kwa maana sisi hatuna mtu atujuaye. Makimbilio yametupotea,

Zaburi 142:1,3-7
[1]Kwa sauti yetu tunakulilia BWANA, 
Kwa sauti wote tunakuomba BWANA dua. 

[3]Tumezimia roho unayajua mapito yetu; 
Katika njia tuendayo wametufichia mitego. 

[4]Utazame mkono wa kuume ukaone, 
Kwa maana sisi hatuna mtu atujuaye. 
Makimbilio yametupotea,
๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

UPO TAYARI KUJIBU SWALI LA MUNGU? "BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi." Mwanzo 4:9-10 Uhai/damu ya mtu, inalia mbele za Mungu

UPO TAYARI KUJIBU SWALI LA MUNGU?

"BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi." Mwanzo 4:9-10

Uhai/damu ya mtu,  inalia mbele za Mungu