MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile
MwanaHALISI Digital

@mwanahalisitz

MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV

ID: 2269936272

linkhttp://mwanahalisionline.com calendar_today31-12-2013 05:56:16

28,28K Tweet

349,349K Followers

462 Following

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuahidi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuipa kipaumbele kwa kuwa huduma za hali ya hewa zinasaidia katika mipango mbalimbali ya maendeleo. “Wataalam wa hali ya hewa

Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuahidi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuipa kipaumbele kwa kuwa huduma za hali ya hewa zinasaidia katika mipango mbalimbali ya maendeleo.

“Wataalam wa hali ya hewa
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara wa Mkoa wa Ruvuma wameanza kuchangamkia fursa za Tamasha la tatu la Kitaifa la Utamaduni linalotarajiwa kufanyika Mjini Songea ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Akizungumza leo tarehe 13 Septemba 2024

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Ligi tatu kubwa Ulaya ambazo ni Ufaransa, Ujerumani, na Hispania zinarejea leo na itapigwa michezo kadhaa ambayo inaweza kukupa fursa ya kunyakua kitita kikubwa. kwa wale wa USSD na  vitochi pia, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu kwenye Mkutano wa hadhara Katika Jimbo la Korogwe Vijijini amewaeleza Wananchi na kutoa wito waweze kujitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuichagua ACT Wazalendo.

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama Cha ACT Wazalendo, Rehema Ally Mohammed akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara katika Jimbo la Korogwe Vijijini amesema hivi sasa kuna matabaka ya wenye nacho na wasio kuwa nacho na ametoa wito kwa wananchi waweze kuchagua viongozi bora kwenye chaguzi

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amepokea wa wanachama 12 wa CCM. Wanachama hao wamejiunga ACT Wazalendo jana katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Kigamboni Septemba 13, 2024 .

Makamu Mwenyekiti wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> Bara, <a href="/MchinjitaIR/">Isihaka Mchinjita</a> amepokea wa wanachama 12 wa CCM. Wanachama hao wamejiunga ACT Wazalendo jana katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Kigamboni Septemba 13, 2024 .
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

MBUNGE wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge, Musa Azzan Zungu amesema makubaliano ya kisheria yamefikia zaidi ya asilimia 90 na kampuni ya Oryx Gas Tanzania kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki kubwa la kisasa la gesi ambalo litagharimu zaidi ya Sh.300 katika Soko la

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Abdallah Mvungi, leo tarehe 14 Septemba 2024, ameziongoza timu za Wizara hiyo katika jogging ya kilometa tisa iliyofanyika katika eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ikiwa ni hitimisho la maandalizi ya

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Nukuu kutoka katika mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu unaoendelea katika Kata ya Kilindoni Kisiwani Mafia leo tarehe 14 Septemba 2024. "Dk. Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM  amesema kuwa utekaji unaoendelea nchini haufanywi na vyombo vya dola wala CCM bali

Nukuu kutoka katika mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu unaoendelea katika Kata ya Kilindoni Kisiwani Mafia leo tarehe 14 Septemba 2024.

"Dk. Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM  amesema kuwa utekaji unaoendelea nchini haufanywi na vyombo vya dola wala CCM bali
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

MJUMBE wa Baraza kuu la Umoja wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Victor Makundi, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, kuviacha vyombo vya dola kufanya uchunguzi ili kubaini wahalifu wanaoteka, kutesa na kuua watu. Amesema nchi haliongozwi na matamko au

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Maandalizi ya Tamasha la tatu la Kitaifa la Utamaduni Mkoani Ruvuma yanaendelea; huku Wafanyabiashara wakieleza kutumia vizuri fursa zitokanazo la tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika katika mji wa Songea na kuhudhuriwa na watu zaidi 5,000. Tamasha hilo litakakaloanza tarehe 20

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kumaliza Mkutano wa hadhara Katika Jimbo la Kilindi uliofanyika Kata ya Kwediboma kiongozi wa Chama, Dorothy Semu aliongoza zoezi la usajili wa Wanachama kwenye mfumo wa ACTKiganjani. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Hizi haoa sababu kwanini uichague ACT Wazalendo yametolewa na Kiongozi wa Chama hicho, Dorothy Semu alipokuwa akizungumza na Wakazi wa Jimbo la Kilindi, Tanga. Msikilize

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuwa na ugeni mkubwa wa watu mbalimbali watakaoshiriki katika Tamasha la Tatu la Kitaifa la Utamaduni litakalofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Septemba 2024 katika Mji wa Songea. Takriban watu 5,000 wanatarajiwa kuhudhuria tamasha hilo, huku Rais wa

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

“Tunafahamu hapa mafia kuna mgogoro wa ardhi, ardhi ni uhai, ardhi ni urithi wetu. Kwenye kisiwa kidogo kama hiki mtu, akikupora ardhi, anakuwa ndio amekupora uhai wako. Watu wa mafia sisi, ACT Wazalendo tumetangaza vita dhidi ya wezi wa rasilimali zenu. Kwa hiyo, nanyi