Lolo ☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile
Lolo ☘

@phentykiria

Only God/ Digital entrepreneur/Trainer at Online Entrepreneurship /Content creator/#SOSDiplomats / Social media marketer/ #PFoodPorn /#DijitiNaBiashara

ID: 3367219001

calendar_today09-07-2015 06:57:50

87,87K Tweet

11,11K Followers

204 Following

MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Biriani Tayari 😋 Leo Tarehe 20.09.2024 ☎️0719068333 Delivery ☑️ Pick Up ☑️ Mtume boda wako ☑️ Cloud Kitchen Mudi Mabiriani Dar es Salaam

Biriani Tayari 😋
Leo Tarehe 20.09.2024 

☎️0719068333 

Delivery ☑️
Pick Up ☑️
Mtume boda wako ☑️

Cloud Kitchen
Mudi Mabiriani Dar es Salaam
Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Serikali imepanga kuwezesha ujenzi wa shule mpya 100 za sekondari za ufundi, kati ya hizo shule 26 zitaanza kupokea wanafunzi kuanzia Januari 2025. Ujenzi wa shule za amali utapewa kipaumbele katika maeneo ambayo hayana vyuo vya ufundi. #MamaAnafanikisha

Serikali imepanga kuwezesha ujenzi wa shule mpya 100 za sekondari za ufundi, kati ya hizo shule 26 zitaanza kupokea wanafunzi kuanzia Januari 2025.

Ujenzi wa shule za amali utapewa kipaumbele katika maeneo ambayo hayana vyuo vya  ufundi.

#MamaAnafanikisha
Lolo ☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

Mtu 1: kwanini hupokei simu? Mtu 2; niliweka silent Mtu 1; sasa haina maana ya wewe kuwa na simu Mtu 2; Kekekekeke😂😂 Mtu 1; unamchekea nani sasa? Sema kuna watu wakorofi na hapo kaweka loud speaker 🙌🏻

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐒𝐈𝐌𝐀𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀. #MamaYukoKazini

𝐌𝐒𝐈𝐌𝐀𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀.

#MamaYukoKazini
Ms_Genya (@scholadecaprado) 's Twitter Profile Photo

Wahariri wanawake wanayo nafasi ya kuwasemea wanahabari wanawake ndani ya vyumba vya habari ili waweze kupewa nafasi kutokana na Uwezo wao na ufanisi wa kazi. Tanzania Media Women #WomenInMediaTz

Wahariri wanawake wanayo nafasi ya kuwasemea wanahabari wanawake ndani ya vyumba vya habari ili waweze kupewa nafasi kutokana na Uwezo wao na ufanisi wa kazi.

<a href="/TAMWA_/">Tanzania Media Women</a>

#WomenInMediaTz
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

💻 INAKAA NA CHAJI MASAA 14 HP ZBook 14u G6 Mobile Workstation! Video editing, graphic, Engineering na kazi zote nzito - Core i5 | 8th Gen - 8 GB RAM - 256 GB SSD - 💻14” with IPS🌅 - 🔋14 Hours😋 Free software Installation Free delivery in DSM BEI: 1,100,000/= Used Point

💻 INAKAA NA CHAJI MASAA 14

HP ZBook 14u G6 Mobile Workstation!

Video editing, graphic, Engineering na kazi zote nzito

- Core i5 | 8th Gen
- 8 GB RAM
- 256 GB SSD
- 💻14” with IPS🌅
- 🔋14 Hours😋

Free software Installation
Free delivery in DSM

BEI: 1,100,000/=
<a href="/usedpointTz/">Used Point</a>
Association of Tanzania Employers(ATE) (@ate_tanzania) 's Twitter Profile Photo

We are we pleased to officially announce our sponsors for the 3rd Waajiri Health Bonanza 2024. ♡ NMB Bank Plc ♡ ALAF ♡ COOL BLUE ♡ Stanbic Bank ♡ MCC Premium Label Solution ♡ G4S Security Date 📅; 19th Oct, 2024 #WaajiriBonanza2024 #PreventNCDs #Tutakiwasha

We are we pleased to officially announce our sponsors for the 3rd  Waajiri Health Bonanza 2024.

♡ <a href="/NMBTanzania/">NMB Bank Plc</a>
♡ ALAF
♡ COOL BLUE
♡ Stanbic Bank
♡ MCC Premium Label Solution 
♡ G4S Security 

Date 📅; 19th Oct, 2024

#WaajiriBonanza2024 
#PreventNCDs 
#Tutakiwasha
Vanessa Temba (@vannytemba) 's Twitter Profile Photo

Simple get well soon package available at our gift shop. Bei ni kuanzia 20,000 tuu nk. 📞0713149537 📍Mikocheni, Opposite to Rose garden Please Rt. 🙏🏽

Lolo ☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

Mkoani Ruvuma kupata huduma ya maji safi na salama katika vijiji vitatu Mradi huu utanufaisha watu 9870 ikiwa ni pamoja na kumtua Mama ndoo na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi ikiwemo viwanda vidogo vidogo vya kubangua Kahawa, Kokoa #MamaYukoKazini

Mkoani Ruvuma kupata huduma ya maji safi na salama katika vijiji vitatu
Mradi huu utanufaisha watu 9870  ikiwa ni pamoja na kumtua Mama ndoo na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi ikiwemo viwanda vidogo vidogo vya kubangua Kahawa, Kokoa #MamaYukoKazini
Lolo ☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, amesema kuwa Marekani inatambua kazi kubwa na dhamira ya serikali katika kuhakikisha watanzania wanakuwa salama na Nchi yake iko tayari kuunga mkono jitihada Amesema hayo kwenye Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) #MamaYukoKazini

𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮 (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

"Tunatambua kwamba kati ya Marekani na Tanzania hakuna ambaye ana Demokrasia iliyokamilika. Kwa wiki zilizopita tumeshuhudia vurugu katika Chaguzi za Marekani. Wakati Tanzania inaelekea kwenye chaguzi mwezi Novemba na mwakani ni vyema tukaimarisha Demokrasia." Balozi wa Marekani

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Earlier today, The Elimika Wikiendi team had the privilege of participating in the knowledge sharing session organized by UNESCO Dar es Salaam, focusing on Media and Information Literacy (MIL) for Gender Equality in Tanzania. #GenderEquality #DigitalAdvocacy #ElimikaWikiendi

Earlier today, The Elimika Wikiendi team had the privilege of participating in the knowledge sharing session organized by <a href="/unescodar/">UNESCO Dar es Salaam</a>, focusing on Media and Information Literacy (MIL) for Gender Equality in Tanzania.

#GenderEquality
#DigitalAdvocacy
#ElimikaWikiendi