SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile
SATIVA17

@sativa255

PYALA PYALA.

ID: 1112374612548075523

calendar_today31-03-2019 15:22:29

165,165K Tweet

62,62K Followers

3,3K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa MAFWELE "FAITH MAFWELE" anasoma urubani South Africa. Wakati sisi wazazi wetu wanahangaika vituo vya polisi kututafuta, babaake ametuweka MATEKA. Wakati wazazi wetu wanahangaika , wanalia kwa kutokujua tulipo kumbe babaake katuweka MATEKA. Babaake anakazana kuua watu