#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile
#SAUTIZAO

@sautizao

Jukwaa la kupaza na kulinda sauti za vijana na wanawake mtandaoni #HakiZaKidijitali #DigitalRightsTZ #CivicTech chini ya uongozi wa @lpdigitaltz

ID: 1611006655923208193

linkhttps://youtu.be/hXTo8u8HMh8 calendar_today05-01-2023 14:28:29

2,2K Tweet

898 Followers

34 Following

#SAUTIZAO (@sautizao) 's Twitter Profile Photo

❓Je, #sautiZao zina umuhimu gani katika kujenga jamii yenye usawa na uwakilishi wa kweli? ❓Bila ushiriki wao, je, demokrasia inaweza kuleta maendeleo endelevu? ❓Je, ni jinsi gani tunaweza kuhakikisha kila mmoja anajumuishwa katika mchakato wa kidemokrasia? #SautiZao

❓Je, #sautiZao zina umuhimu gani katika kujenga jamii yenye usawa na uwakilishi wa kweli?

❓Bila ushiriki wao, je, demokrasia inaweza kuleta maendeleo endelevu?

❓Je, ni jinsi gani tunaweza kuhakikisha kila mmoja anajumuishwa katika mchakato wa kidemokrasia?

#SautiZao