Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile
Sunday Victor

@sundey_fx

Miaka 6 kwenye Biashara Ya Forex | Naandika zaidi kuhusu Forex Trading | Affiliate Marketing | Jinsi ya kupata $$ Kwa Internet. Jiajiri Kwa Kutumia Internet

ID: 1261590790922481665

linkhttps://bit.ly/3W7GtRq calendar_today16-05-2020 09:34:43

13,13K Tweet

7,7K Followers

48 Following

πƒπžπ…πšπ­π‘πžπ«πŸ»βš™οΈ (@erdeny_) 's Twitter Profile Photo

Sunday Victor Wa sitrade wala wajisijaribu kutrade kama kichwan weupe mana hamna mahali watatajirika ata kwa bahat mbaya wala kibubusa Point to note :WASOME KWANZA KABLA HAWAJA JARBU KUTRADE

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Usitafute machawi nani, usilaumu makert makers, hawaangaiki na stop loss yako, wapo busy ku trade ma billion ya dollar, WEWE huna maarifa sahihi, Hakuna Uchawi. Weza kwenye maarifa kwanza, Banksetup Stratey hii ndio siri.

Usitafute machawi nani,

usilaumu makert makers,

hawaangaiki na stop loss yako,

wapo busy ku trade ma billion ya dollar,

WEWE huna maarifa sahihi, 

Hakuna Uchawi. Weza kwenye maarifa kwanza,

Banksetup Stratey hii ndio siri.
Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

sema XAUUSD watu hawaijjulii vizuri, kitu ina move pips 500+ kwa siku 1, unakosaje pipis 50? come ooon Bro! haupo sereous na Trading

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

FINALLY KITABU NA COURSE VIMEKAMILIKA, IMENICHUKUA MIEZI 6 KUANDAA, LEO RASIMI NAZIACHIA, KWA WATU 10 TU, KITABU NA COURSE YAKE, NAKUFUNDISHA KWA VITENDO NA UNAPATA NA KITABU BURE, HII STRATEGY INAITWA BANKSETUP. HAWA WATU 10 WASIPO PATA MATOKEO NAWARUDISHIA PESA ZAO, πŸ‘‡

FINALLY KITABU NA COURSE VIMEKAMILIKA,

IMENICHUKUA MIEZI 6 KUANDAA,

LEO RASIMI NAZIACHIA,

KWA WATU 10 TU,

KITABU NA COURSE YAKE,

NAKUFUNDISHA KWA VITENDO NA UNAPATA NA KITABU BURE,

HII STRATEGY INAITWA BANKSETUP.

HAWA WATU 10 WASIPO PATA MATOKEO NAWARUDISHIA PESA ZAO,
πŸ‘‡
Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

sio kila ikigusa unaingia bro, lazima ujue confirmation ya setup yako, Banksetup sio indicator pekee, ni combination ya vitu vingi, pitiapin post yangu,