Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile
Dr. Mlaluko, MD

@drmlalukomd

|TheResidentOphthalmology|HealthJournalist|HealthEyeAdvocate|YourIdealDoctor|Founder @jukwaalaafya|

ID: 3377595627

linkhttp://jukwaalaafya.wordpress.com calendar_today15-07-2015 18:11:21

69,69K Tweet

7,7K Followers

740 Following

Ndege (@pouchofo) 's Twitter Profile Photo

Dr. Mlaluko, MD Huwa nasema "mpatie simu mwenye shida, hutoweza kuelezea shida yake vizuri, mpe"...utasikia tu, aaah ni mimi mwenyewe kusema kweli.๐Ÿ˜

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

Kwenye clerkship, mgonjwa wa VVU ukimuuliza kama kuna dawa zozote za muda mrefu anatumia au kama ana ugonjwa wowote unaomfanya atumie dawa kila siku. ANAKATAA KATA KATA. Ila ukimuuliza "mara ya mwisho ulipima lini HIV?" "Majibu yalikuwaje?". Hapo anakuwa mkweli......

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

Siku mbaya medical school. Ile ume-take history ya mgonjwa na PMH umesema "no any chronic illness" Kumbe mgonjwa ni HTN, DM na HIV ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Chief anakutizama kwa jicho la kukwambia njoo " we ng'ombe September jiandae"

Mizzy14 (@nyamimary) 's Twitter Profile Photo

Dr. Mlaluko, MD Kuna mmoja aliwahi nijaza nikajaa mbaya zaidi nika present kwa chief anaemjua aisee sitamsahau yule mama๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Devis Grant M. (@_devigrn) 's Twitter Profile Photo

Kuna zile usema Pt. had normal vitals na hukupima, FBP results were normal na hukuiona, kama chief anamjua+alimu-attend mgonjwa vizuri hapo ndo kwisha habari yako ๐Ÿ˜

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

Kuna mipango ya Mungu ila kuna madereva wanauza roho zetu...speed kuliko maelezo...ma mbaya trafiki kuna namna baadhi ya gari wanaziacha, nafikiri wana kuwa washapewa maelekezo.