KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile
KING WA DSM πŸ‘‘

@dsm_wa

Mjini njoo na akili vingine utavikuta huku (DSM)

ID: 1313746301352321024

calendar_today07-10-2020 07:42:19

15,15K Tweet

3,3K Followers

4,4K Following

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Zoezi la uandikishaji kwenye daftari la kudumu la mpiga kura limeendelea huko Manyara ambapo kwa namna ya kushangaza wazee, walemavu na wenye shida mbalimbali za viungo vya mwili wamejitokeza kwa wingi na wao kupata kadi za mpiga kura.

KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Mpanda hadi Tabora yenye urefu wa KM 337.429, sehemu ya pili ni Komanga - Kasinde (Km 108), Barabara ya Kasinde - Mpanda (Km 105.389)

Barabara ya Mpanda hadi Tabora yenye urefu wa KM 337.429, sehemu ya pili ni Komanga - Kasinde (Km 108), Barabara ya Kasinde - Mpanda (Km 105.389)
KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

ONGEZEKO BAJETI TAMISEMI INAVYOENDA KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII Mwaka 2023/24: Trilioni 9.18 Mwaka 2024/25: Trilioni 10.125 Fedha hizi zinaenda kuboresha elimu, afya na miundombinu ili kuboresha maisha ya watanzania nchini. #MguuKwaMguu2025

ONGEZEKO BAJETI TAMISEMI INAVYOENDA KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII

Mwaka 2023/24: Trilioni 9.18
Mwaka 2024/25: Trilioni 10.125

Fedha hizi zinaenda kuboresha elimu, afya na miundombinu ili kuboresha maisha ya watanzania nchini.

#MguuKwaMguu2025
KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA KIKAO KIMOJA NA WAWEKEZAJI CHINA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali. #MguuKwaMguu2025 #MamaKazini

RAIS SAMIA KIKAO KIMOJA NA WAWEKEZAJI CHINA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali.

#MguuKwaMguu2025 
#MamaKazini
KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Dear wanaharakati mmewaona Wamasai kwa wingi kwenye mkutano wa Makala Longido.? CCM itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka mingi sana.

Dear wanaharakati mmewaona Wamasai kwa wingi kwenye mkutano wa Makala Longido.? 
CCM itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka mingi sana.
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA IMEFILISIKA SANA KIMAWAZO NA KISERA!! TUNAPOSEMA watu hawa wamepoteza muelekeo huwa mnachelewa sana kuelewa. Tunaposema watu hawa wamekosa ajenda huwa wengi wenu hamtaki kuelewa tunakuwa tunamaanisha nini.. Haya sasa sikieni hivi vituko. Yaani maombi yamewahi kuwa njia

jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Hiki chama hakijawahi kuwa serious miaka yote. Imagine huyu ni makamu mwenyekiti wa Chadema anafanyiwa hivyi je wewe grassroots, Mboe ata left kwenye gari anaweza kukupa kweli. Licha ya michango yote hadi Leo hii chama ofis na hayo ndio maandaliz ya mkutano..

Hiki chama hakijawahi kuwa serious miaka yote.
Imagine huyu ni makamu mwenyekiti wa Chadema anafanyiwa hivyi je wewe grassroots,
Mboe ata left kwenye gari anaweza kukupa kweli.
Licha ya michango yote hadi Leo hii chama ofis na hayo ndio maandaliz ya mkutano..
Aliyah (@melaninaliyah1) 's Twitter Profile Photo

πŸ“DARAJA LA BEREGA Daraja hilo limejengwa katika barabara ya Berega – Dumbalume, lina urefu wa mita 140 na upana mita 11 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro. Daraja hilo limeondoa kero ya usafirishaji kwa wananchi. #MamaYukoKazini

πŸ“DARAJA LA BEREGA

Daraja hilo limejengwa katika barabara ya Berega – Dumbalume, lina urefu wa mita 140 na upana mita 11 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro.

Daraja hilo limeondoa kero ya usafirishaji kwa wananchi.

#MamaYukoKazini
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Mzee wa watu anasikitika sana hajawahi kumuona mwanae ana demu😁😁 Angalia hadi mwisho uniambie umeona nini😁😁😁😁

KING WA DSM πŸ‘‘ (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

BILIONI 31 KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA KILIMO Mwaka 2024/25 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo #MguuKwaMguu

BILIONI 31 KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA KILIMO

Mwaka 2024/25 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo

#MguuKwaMguu