π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚(@Labella_Mafia95) 's Twitter Profileg
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚

@Labella_Mafia95

Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard

ID:1396347896765820931

calendar_today23-05-2021 06:11:29

209,6K Tweets

121,6K Followers

3,2K Following

Follow People
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚(@Labella_Mafia95) 's Twitter Profile Photo

Huyu manzi anaitwa Sarah mwanamke alie mtesa diamond platnumz mpaka akasababisha kutunga song la Kamwambie, na ndio Ukawa mwimbo ulio mpa tobo katika safari ya mziki.

Kuna muda mapenzi ni fulsa ya kukufikisha sehemu flani ya ndoto zako.

Huyu manzi anaitwa Sarah mwanamke alie mtesa diamond platnumz mpaka akasababisha kutunga song la Kamwambie, na ndio Ukawa mwimbo ulio mpa tobo katika safari ya mziki. Kuna muda mapenzi ni fulsa ya kukufikisha sehemu flani ya ndoto zako.
account_circle
This User(@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Have you ever bought something expensive and told your mum a lower price just to live peacefully in the house πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚(@Labella_Mafia95) 's Twitter Profile Photo

Huyu manzi anaitwa Sarah mwanamke alie mtesa diamond platnumz mpaka akasababisha kutunga song la Kamwambie, na ndio Ukawa mwimbo ulio mpa tobo katika safari ya mziki.

Kuna muda mapenzi ni fulsa ya kukufikisha sehemu flani ya ndoto zako.

Huyu manzi anaitwa Sarah mwanamke alie mtesa diamond platnumz mpaka akasababisha kutunga song la Kamwambie, na ndio Ukawa mwimbo ulio mpa tobo katika safari ya mziki. Kuna muda mapenzi ni fulsa ya kukufikisha sehemu flani ya ndoto zako.
account_circle
Bixen(@heisbixen) 's Twitter Profile Photo

ORODHA YA MARAIS WALIOUWAWA WAKIWA MADARAKANI DUNIANI

1. Abeid Amani Karume

Alikuwa Rais wa Zanzibar tangu mapinduzi ya mwaka 1964.

Aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa anacheza bao mwaka 1972 na Mwanajeshi, Luteni Hamud Mohammed Hamud

ORODHA YA MARAIS WALIOUWAWA WAKIWA MADARAKANI DUNIANI 1. Abeid Amani Karume Alikuwa Rais wa Zanzibar tangu mapinduzi ya mwaka 1964. Aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa anacheza bao mwaka 1972 na Mwanajeshi, Luteni Hamud Mohammed Hamud
account_circle
Bixen(@heisbixen) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Maisha Kuna Mengi Mtu Unaishi naye Mwenye tabasam kumbe Anatumia Dozi Ya Kulipia Dawa Kila Mwezi 600k Nakuja kujua Baada Ya Kufa kwake kutokana na Ajari Agari Tuna Marafiki Na Ndugu tusio wajua..πŸ’”πŸ˜ͺ

account_circle
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚(@Labella_Mafia95) 's Twitter Profile Photo

'Nimeolewa nikiwa na miaka 19 nilipomaliza kidato cha nne nilikuwa mrembo sana, msinione hivi ni vile nimechoka tu, nilikuwa nikipita hivi wanaume walikuwa macho yote kwangu. Uzuri wangu ulimpa hofu mama yangu alikuwa anawaza huyu mtoto na uzuri huu akikaa hapa si ataharibika!!'