Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile
Pr. Christopher Ungani

@cungani

Director, East-Central Africa Division Media Center/Hope Channel Coordinator.
Pastor & Journalist

ID: 1122803370

calendar_today26-01-2013 18:33:54

3,3K Tweet

1,1K Followers

602 Following

Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Hitaji kuu la ulimwengu ni hitaji la watu – watu ambao hawatanunuliwa wala kuuzwa, watu ambao ndani kabisa ya nia zao ni wakweli na waaminifu, watu wasioogopa kuiita dhambi kwa jina lake halali, watu ambao dhamiri zao ni aminifu katika wajibu kama ilivyo sindano ya dira kwa ncha

Sabato Njema! 🌿 “Kama vile darubini inavyoturuhusu kuona maajabu ya mbali kwa uwazi, Sabato inatusaidia kuziona ahadi za Mungu kwa ukaribu zaidi na kupata uhakika wa kutimia kwake. Ninaomba siku hii iwape amani, maono, na uhakika. #Sabato #Imani #Amani"

Sabato Njema! 🌿 

“Kama vile darubini inavyoturuhusu kuona maajabu ya mbali kwa uwazi, Sabato inatusaidia kuziona ahadi za Mungu kwa ukaribu  zaidi na kupata uhakika wa kutimia kwake. Ninaomba siku hii iwape amani, maono, na uhakika. #Sabato #Imani #Amani"
Sam Neves (@saneves) 's Twitter Profile Photo

“I would love to have Hope Channel as the first TV to broadcast the second coming of Jesus. But I fear Hope Channel would have been ripped off the air by then. We have a limited time. Let’s work while we have daylight. The night is coming.” Vyacheslav Demyan, President of

Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! Sabato ni kama mti wa matunda, ikitupatia kivuli cha utulivu na matunda ya baraka. Tuchukue muda huu kukumbuka wema na uaminifu wa Mungu, tukipata pumziko na faraja katika Neno lake. Sabato njema na baraka tele!

Sabato Njema!

Sabato ni kama mti wa matunda, ikitupatia kivuli cha utulivu na matunda ya baraka. Tuchukue muda huu kukumbuka wema na uaminifu wa Mungu, tukipata pumziko na faraja katika Neno lake.

Sabato njema na baraka tele!
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! “Sabato ni kama dira ya kiroho, ikituelekeza kwenye njia ya kweli ya pumziko na uhusiano wa karibu na Mungu. Tumshukuru Bwana kwa neema yake ya kutuongoza kila siku. Sabato njema yenye baraka tele!"

Sabato Njema!

“Sabato ni kama dira ya kiroho, ikituelekeza kwenye njia ya kweli ya pumziko na uhusiano wa karibu na Mungu. Tumshukuru Bwana kwa neema yake ya kutuongoza kila siku. Sabato njema yenye baraka tele!"
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! "Sabato sio tu siku ya kupumzika; ni zawadi ya neema, na burudiko la roho. Kama benchi kwenye ufuo wa bahari, inatuomba tuketi, tupunge hewa, na tutulie. Katika wakati huu wa utulivu, naomba upate amani ipitayo akili zote."

Sabato Njema!

"Sabato sio tu siku ya kupumzika; ni zawadi ya neema, na burudiko la roho. Kama benchi kwenye ufuo wa bahari, inatuomba tuketi, tupunge hewa, na tutulie. Katika wakati huu wa utulivu, naomba upate amani ipitayo akili zote."
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! "Sabato sio tu siku ya kupumzika; ni zawadi ya neema, na burudiko la roho. Kama benchi kwenye ufukwe wa bahari, inatuomba tuketi, tupunge hewa, na tutulie. Katika wakati huu wa utulivu naomba upate amani ipitayo akili zako."

Sabato Njema!

"Sabato sio tu siku ya kupumzika; ni zawadi ya neema, na burudiko la roho. Kama benchi kwenye ufukwe wa bahari, inatuomba tuketi, tupunge hewa, na tutulie. 

Katika wakati huu wa utulivu naomba upate amani ipitayo akili zako."

Sabato Njema! "Sabato ni kama Mnara wa Kuongozea Ndege—ikielekeza roho kutua salama katika amani ya Mungu katikati ya misukosuko ya maisha." “The Sabbath is like an Air Traffic Control Tower—guiding the soul to land safely in God's peace amidst the turbulence of life.”

Sabato Njema!

"Sabato ni kama Mnara wa Kuongozea Ndege—ikielekeza roho kutua salama katika amani ya Mungu katikati ya misukosuko ya maisha."

“The Sabbath is like an Air Traffic Control Tower—guiding the soul to land safely in God's peace amidst the turbulence of life.”
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! 🌿 Kama vile meli inavyopata usalama na utulivu kupitia nanga yake, Sabato inatupatia pumziko na amani katika Bwana. Yeye ndiye nanga yetu thabiti, anayetuimarisha katikati ya dhoruba za maisha. youtu.be/NE4lDM34TxA?si…

Sabato Njema! 🌿

Kama vile meli inavyopata usalama na utulivu kupitia nanga yake, Sabato inatupatia pumziko na amani katika Bwana. Yeye ndiye nanga yetu thabiti, anayetuimarisha katikati ya dhoruba za maisha. 

youtu.be/NE4lDM34TxA?si…
Pr. Christopher Ungani (@cungani) 's Twitter Profile Photo

Sabato Njema! Happy Sabbath! "Katikati ya kiu kali na uchovu wa maisha, pumziko la Sabato linatupoza kama chemchemi jangwani. Ni mahali tunapoburudisha nafsi zetu, kupata faraja na kufufua roho zetu. Furahia utulivu, jipatie nguvu mpya, tukutane kanisani ukiwa na nguvu zaidi."

Sabato Njema!

Happy Sabbath!

"Katikati ya kiu kali na uchovu wa maisha, pumziko la Sabato linatupoza kama chemchemi jangwani. Ni mahali tunapoburudisha nafsi zetu, kupata faraja na kufufua roho zetu. Furahia utulivu, jipatie nguvu mpya, tukutane kanisani ukiwa na nguvu zaidi."