Dj D-Ommy (@dvjd_ommy) 's Twitter Profile
Dj D-Ommy

@dvjd_ommy

Mr WashaWasha DJ D-OMMY// Head Of Music Department #CrownFm & #CrownTv// MtvBase TakeOver Dj //Multiple Award Winning Dj//InterNationalDj

ID: 576253786

linkhttps://youtu.be/7V1n0wKmvvM calendar_today10-05-2012 13:51:55

8,8K Tweet

31,31K Followers

763 Following

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Introducing to you to the best #CrownDjs Captain ni JITU HIMSELF Dj D-Ommy ๐Ÿ“Œ๐Ÿซก Jumatatu balaa linaanza Get Ready!! #HapaNiNyumbani

dj ammy tz (@lizyverty) 's Twitter Profile Photo

The throne ya crown fm ni ya moto mno afu Dj D-Ommy akiwa kwenye table anajua nini kinatakiwa kufanyika kwa muda sahihi ichi kipindi kinaenda kuleta mapinduz makubwa mno๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

The throne ya crown fm ni ya moto mno afu <a href="/dvjd_ommy/">Dj D-Ommy</a> akiwa kwenye table anajua nini kinatakiwa kufanyika kwa muda sahihi ichi kipindi kinaenda kuleta mapinduz makubwa mno๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Alikiba (@officialalikiba) 's Twitter Profile Photo

TORONTO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ you have a special place in my heart, thank you for having me. Until next time. Ciao. #KingKibaInToronto #KingKiba

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Hapa sio Mbagala Zakhiem, hapa sio Mazense, hapa sio Masaki, hapa sio Lupaso, hapa ni Ontario, Canada na huyu anayeimbisha watu hapa ni Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba kwenye #AfroFest Maelfu ya Mashabiki wakiimba na Alikiba. Tamasha la Afrofest linalofanyika Canada,

Michael Baruti (@michaelbaruti) 's Twitter Profile Photo

Kasri la Kikeke ni boonge moja ya radio showโ€ฆ Natumai itabaki hivi hiviโ€ฆ Ananifanya nifurahie tena radioโ€ฆ Imekuwa muda sana toka hili litokee kwangu

Fredrick Haba๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@fredrickhaba) 's Twitter Profile Photo

Crown Media Dj D-Ommy Raha ya kufanya kile unachokipenda, mwamba anafurahia kile mikono yake imezoea kukifanya wakati wote. Shabiki yake sijutii kumsikiliza kila akiwa kwenye 1 & 2. Katika sajili nyingi zilizofanywa na Crown Media kwa upande wa muziki, huu ndo usajili wangu namba 1 kwa ubora ๐Ÿ™Œ

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Kwasababu tayari ni FULL HOUSE yaani Watu 60,000 wataketi kwenye uwanja wa MKAPA Jumaosi hii kwenye kilele cha #UbayaUbwela basi Burudani italakiwa na #CrownDjs ambao watahakikisha BURUDAH! Linashuka Kuanzia Monie kuhakikisha Mwanasimba ana ENJOY Mwa Mwi. List itaongozwa na JITU

Kwasababu tayari ni FULL HOUSE yaani Watu 60,000 wataketi kwenye uwanja wa MKAPA Jumaosi hii kwenye kilele cha #UbayaUbwela basi Burudani italakiwa na #CrownDjs ambao watahakikisha BURUDAH! Linashuka Kuanzia Monie kuhakikisha Mwanasimba ana ENJOY Mwa Mwi.

List itaongozwa na JITU
Castle Lite Tanzania (@castlelitetz) 's Twitter Profile Photo

Team Dj D-Ommy and Gibbzy imeitika na kujiandaa for a Superior showdown Sun Aug 18th malaikabeachresort. Come through and #LitenUp at the dopest party of the year. ๐Ÿป๐Ÿฅถ #SuperiorSets

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Tunaenda kama timu ya ushindi ๐Ÿ† Yes! Kutoka CROWN MEDIA wanafamilia wetu wakiongozwa na Rais Alikiba wamefanikiwa kuingia katika โ€˜nominationโ€™ za tuzo kubwa na pekee Tanzania TMA 2023. Mfalme akiingia katika nomination ya Msanii bora wa kiume, Dj D-Ommy akiingika

Tunaenda kama timu ya ushindi ๐Ÿ† Yes! Kutoka CROWN MEDIA wanafamilia wetu wakiongozwa na Rais <a href="/OfficialAliKiba/">Alikiba</a> wamefanikiwa kuingia katika โ€˜nominationโ€™ za tuzo kubwa na pekee Tanzania TMA 2023.

Mfalme akiingia katika nomination ya Msanii bora wa kiume, <a href="/dvjd_ommy/">Dj D-Ommy</a> akiingika