Pesa ambayo ilitakiwa kutolewa kama rambirambi katika msiba wa ndugu yetu kama angefariki kwa risasi na kuliwa na wanyama wakali porini, kwa kuwa lengo la wachomaji na watekaji halikutimia, imetolewa na mchomaji kama mchango wa matibabu kwa masimango. PESA HIYO IMERUDISHWA. 💪🏾
‘How Edgar Mwakabela (SATIVA) was abducted, handcuffed, tortured, gunshot, and dumped in the wilderness.’
All details come from the mouth of Edgar Edson Mwakabela, SATIVA17, who was abducted on Sunday, 23.06.2024, in Dar es Salaam and found on 27.06.2024 in Katavi.
The events