Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile
Joachim Mabula

@joachimmabula

Advisory Board Member @YouthCNTDs | Former Gender & Sexuality Fellow @UCL | Former Content Manager @AdaHealth | Former Clinical Research Fellow @BarrowNeuro

ID: 41779021

linkhttps://facebook.com/JoachimMabula calendar_today22-05-2009 08:43:36

46,46K Tweet

356,356K Followers

23,23K Following

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Naona kuna huduma ya 5G wakati 4G yenyewe sio halisi unakuta unahangaika tu, mtandao unakuja na kukata na uko mjini je walio porini?

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Kwenye warsha ya #NIKONEKT, utapata fursa ya kukutana na Frank Chaula, mwanzilishi wa Duke Media. Atakueleza uzoefu wake wa kuanzisha na kukuza biashara, pamoja na mbinu muhimu zitakazokusaidia kufanikisha biashara yako. Usikose kushiriki warsha hii kwa gharama ya TZS 20,000 tu.

At times you may feel like you're stuck & not getting anywhere. Remember in life, you may have to move backward in order to move forward!

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati unakumbuka pesa ulizozitumia kuhonga badala ya kumtumia mzazi, halafu huoni faida uliyopata unabaki kuamini uchawi upo. 😂😂😂

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

The girl you dumped, someone will date her, maybe marry her. Another girl who has been dumped will be your wife. It's a cycle, all are second hand.

Paschal Masalu (@masalupaschal) 's Twitter Profile Photo

Honored to represent UNATanzania in the signing of an MoU with IDES Mozambique (represented by Dr. Fidel Terenciano, Director of IDES). This agreement signifies the starting of collaborative effort to implement various cross-border initiatives for sustainable communities | #SDGs

Honored to represent <a href="/UNATanzania/">UNATanzania</a> in the signing of an MoU with IDES Mozambique (represented by Dr. Fidel Terenciano, Director of IDES). This agreement signifies the starting of collaborative effort to implement various cross-border initiatives for sustainable communities | #SDGs
Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Tell a girl she's beautiful a million times, and she'll never believe you. Call her ugly once, and she'll never forget it. 😇

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku nzuri kuzika chochote kibaya ili kutoa fursa kuzaliwa kitu kipya kizuri. Kesho inaweza isifike, amua sasa kuwa na mtazamo chanya.