Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile
Maulid Kitenge

@mshambuliaji

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

ID: 961928330

linkhttp://maulidkitenge.com calendar_today21-11-2012 07:19:36

57,57K Tweet

1,6M Followers

353 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Taarifa kutoka Makao Makuu ya Shirikisho la soka Afrika linaonyesha kuwa Rais wa soka wa Cameroon (FECAFOOT) Samuel Eto’o tayari anajiandaa kuwania kuwa Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika. Kwa mujibu wa ripoti nyingi, muhula wa Rais wa sasa, Patrice Motsepe, unatarajiwa

Taarifa kutoka Makao Makuu ya Shirikisho la soka Afrika linaonyesha kuwa Rais wa soka wa Cameroon (FECAFOOT) Samuel Eto’o tayari anajiandaa kuwania kuwa Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika.

Kwa mujibu wa ripoti nyingi, muhula wa Rais wa sasa, Patrice Motsepe, unatarajiwa
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Derby ya Kaskazini mwa London imemalizika kwa ushindi wa 1-0 kwa Washika Mitutu, Arsenal dhidi ya Tottenham katika dimba la Tottenham. Spurs imepoteza mechi yake ya pili mfululizo kwenye Ligi Kuu England mpaka sasa msimu huu ikiwa ni kipigo cha tatu mfululizo ikiwa nyumbani

Derby ya Kaskazini mwa London imemalizika kwa ushindi wa 1-0 kwa Washika Mitutu, Arsenal dhidi ya Tottenham katika dimba la Tottenham.

Spurs imepoteza mechi yake ya pili mfululizo kwenye Ligi Kuu England mpaka sasa msimu huu ikiwa ni kipigo cha tatu mfululizo ikiwa nyumbani
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika bila bao huko Tripoli International Stadium (Tripoli) kati ya wenyeji Al Ahli Tripoli dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc kwenye mchezo wa hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika. HT: Al Ahli Tripoli 🇱🇾 0-0 🇹🇿 Simba Sc

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika bila bao huko Tripoli International Stadium (Tripoli) kati ya wenyeji Al Ahli Tripoli dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc kwenye mchezo wa hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika.

HT: Al Ahli Tripoli 🇱🇾 0-0 🇹🇿 Simba Sc
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mbabe kati ya wenyeji, Al Ahli Tripoli dhidi ya Simba Sc katika dimba la Tripoli International kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo utaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya

Hakuna mbabe kati ya wenyeji, Al Ahli Tripoli dhidi ya Simba Sc katika dimba la Tripoli International kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo utaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa imebaki miezi miwili kufanyika Uchaguzi wa Serikaliza mitaa, vitongoji na vijiji Novemba 27 mwaka huu, Halmshauri ya Ifakara Mji Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imezindua kampeni ya kuhamasisha wahamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la mpiga kura. Mkuu wa

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Idara ya usalama ya Marekani imesema Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Donald Trump yupo salama baada ya ufyatuaji risasi ulioripotiwa katika eneo lake la kuchezea gofu huko Florida siku ya Jumapili. Katika taarifa yake, msemaji wa kampeni ya Trump, Steven Cheung amesema: “Rais Trump

Idara ya usalama ya Marekani imesema Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Donald Trump yupo salama baada ya ufyatuaji risasi ulioripotiwa katika eneo lake la kuchezea gofu huko Florida siku ya Jumapili.

Katika taarifa yake, msemaji wa kampeni ya Trump, Steven Cheung amesema: “Rais Trump
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeutaarifu umma kuwa linafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya Costa Clemence (22), Mjasiriamali na mkazi wa Maseyu lililotokea katika kijiii cha Gwata, wilaya ya Morogoro. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeutaarifu umma kuwa linafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya Costa Clemence (22), Mjasiriamali na mkazi wa Maseyu lililotokea katika kijiii cha Gwata, wilaya ya Morogoro.

Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mwanasoka wa Saudi Arabia Fahad-Al-Muwallad anayecheza kwenye Ligi ya Saudi Pro, amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya pili jijini Dubai. Kwa mujibu wa Polisi, Al-Muwallad (30) ambaye ni winga anayeichezea klabu ya Al-Shabab na

Mwanasoka wa Saudi Arabia Fahad-Al-Muwallad anayecheza kwenye Ligi ya Saudi Pro, amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya pili jijini Dubai.

Kwa mujibu wa Polisi, Al-Muwallad (30) ambaye ni winga anayeichezea klabu ya Al-Shabab na
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

MTOTO wa beki wa zamani wa Manchester United, Nemanja Vidić, Luka Vidić amesaini mkataba wake wa kwanza wa soka la kulipwa na klabu ya Železničar Pančevo inayoshiriki Ligi Kuu ya soka ya Nchini Serbia. Vidić (17) raia wa Serbia ambaye anachezea nafasi ya kiungo mkabaji ni mtoto

MTOTO wa beki wa zamani wa Manchester United, Nemanja Vidić, Luka Vidić amesaini mkataba wake wa kwanza wa soka la kulipwa na klabu ya Železničar Pančevo inayoshiriki Ligi Kuu ya soka ya Nchini Serbia.

Vidić (17) raia wa Serbia ambaye anachezea nafasi ya kiungo mkabaji ni mtoto
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Nenelwa Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mwihambi alikuwa Katibu wa Bunge. Aidha taarifa iliyotolewa leo Septemba 16, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Nenelwa Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mwihambi alikuwa Katibu wa Bunge.

Aidha taarifa iliyotolewa leo Septemba 16, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limetangaza kuwa hatua ya mtoano kuwania kushiriki katika Michuano ya CHAN itaanza kati ya Oktoba 25-27 na kumalizika Desemba 2024 huku mashindano rasmi yakiwa yamepangwa kufanyika Februari 1-28 Mwakani katika nchi za Kenya, Uganda na

Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limetangaza kuwa hatua ya mtoano kuwania kushiriki katika Michuano ya CHAN itaanza kati ya Oktoba 25-27 na kumalizika Desemba 2024 huku mashindano rasmi yakiwa yamepangwa kufanyika  Februari 1-28 Mwakani katika nchi za Kenya, Uganda na
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Ligi Kuu ya kandanda Tanzania bara imeendelea tena leo Septemba 16, 2024 ambapo katika mchezo wa mapema, KenGold Fc imepokea kichapo cha tatu mfululizo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya wenyeji, KMC Fc katika dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. FT: KMC Fc 1-0 KenGold Fc

Ligi Kuu ya kandanda Tanzania bara imeendelea tena leo Septemba 16, 2024 ambapo katika mchezo wa mapema, KenGold Fc imepokea kichapo cha tatu mfululizo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya wenyeji, KMC Fc katika dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.

FT: KMC Fc 1-0 KenGold Fc