Evelyne Mrema🇹🇿💕 (@queenstan4) 's Twitter Profile
Evelyne Mrema🇹🇿💕

@queenstan4

Christian💕|| Lawyer|| Feminist|| Program Manager @ArdentYouthsTz|| Global Youth Ambassador @theirworld You are ENOUGH! All you need is your voice✨

ID: 976717046288453632

calendar_today22-03-2018 07:07:45

145 Tweet

54 Followers

77 Following

Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Habari wanazengo, Leo Her Initiative tunakuletea mada juu ya athari na matokeo ya rushwa ya ngono kwa wasichana wajasiriamali #ElimikaWikiendi

Habari wanazengo, Leo Her Initiative tunakuletea mada juu ya athari na matokeo ya rushwa ya ngono kwa wasichana wajasiriamali

#ElimikaWikiendi
Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Ili kutokomeza tatizo hili kila mmoja kwenye jamii anapaswa kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kukemea, kuripoti na kushirikiana na taasisi zenye mamlaka ya kufanyia kazi matukio haya mfano TAKUKURU #ElimikaWikiendi

Ili kutokomeza tatizo hili kila mmoja kwenye jamii anapaswa kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kukemea, kuripoti na kushirikiana na taasisi zenye mamlaka ya kufanyia kazi matukio haya mfano TAKUKURU

#ElimikaWikiendi
Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

kuelekea siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia kampeni yetu itaanza upya ikiwa na agenda mpya ya kupanua wigo katika kuwashawishi wasichana kuripoti matukio na kesi za rushwa ya ngono. #ElimikaWikiendi

Evelyne Mrema🇹🇿💕 (@queenstan4) 's Twitter Profile Photo

This‼️ Kuna vingi vya muhimu huononyeshwi darasani ila mtaani unaviona. Na mara nyingi ni hivyo vinavyo kujenga na kukuendeleza.

Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Leo tukiwa tunazindua siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake, Tunapenda kuwatambulisha kwenu vinara wetu wa mapambano zidi ya rushwa ya ngono kwenye kampeni yetu. Tuwe tayari kupokea habari nzito kutoka sasa #HakiHaiuzwi #16DaysOfActivism #SanzukaNaHakiYako

Leo tukiwa tunazindua siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake, Tunapenda kuwatambulisha kwenu vinara wetu wa mapambano zidi ya rushwa ya ngono kwenye kampeni yetu.
Tuwe tayari kupokea habari nzito kutoka sasa 
#HakiHaiuzwi #16DaysOfActivism #SanzukaNaHakiYako
Evelyne Mrema🇹🇿💕 (@queenstan4) 's Twitter Profile Photo

ONGEA HUB ni jukwaa linalomuwezesha binti kueleza matukio ya rushwa ya ngono na kupata msaada maalum kwa haraka zaidi. Tembelea pandadigital.co.tz #SanzukaNaHakiYako

ONGEA HUB ni jukwaa linalomuwezesha binti kueleza matukio ya rushwa ya ngono na kupata msaada maalum kwa haraka zaidi. Tembelea pandadigital.co.tz 
#SanzukaNaHakiYako
African Union Youth Program (@auyouthprogram) 's Twitter Profile Photo

When we say #volunteering , you say #Service!. Today, we wish all volunteers a happy #IVD2022 . Through your unrelenting service, the world is truly becoming a better place. Join us @ 10am EAT today for the commemoration of the day. 🖇️ bit.ly/IVD2022AU

When we say #volunteering , you say #Service!.

Today, we wish all volunteers a happy #IVD2022 . 

Through your unrelenting service, the world is truly becoming a better place.

Join us @ 10am EAT today for the commemoration of the day. 

🖇️ bit.ly/IVD2022AU
Evelyne Mrema🇹🇿💕 (@queenstan4) 's Twitter Profile Photo

Ungana nasi Jumatano hii, ambapo tutajadili jinsi wafanyabiashara wa kike wanaweza kutumia majukwaa ya kidijitali kama Ongea Hub n.k kudeal na changamoto ya Sextortion. Jisajili; us06web.zoom.us/meeting/regist…

Ungana nasi Jumatano hii, ambapo tutajadili jinsi wafanyabiashara wa kike wanaweza kutumia majukwaa ya kidijitali kama Ongea Hub n.k kudeal na changamoto ya Sextortion.

Jisajili; us06web.zoom.us/meeting/regist…
Her Initiative (@herinitiative) 's Twitter Profile Photo

Wasichana wengi wana changamoto katika kutoa taarifa za kesi za rushwa ya ngono kwa kuogopa jamii itawachukuliaje, Her Initiative kupitia jukwaa la Panda Digital limefungua kipengele kitakacho muwezesha msichana kutoa taarifa za matukio ya rushwa ya ngono pandadigital.co.tz

Wasichana wengi wana changamoto katika kutoa taarifa za kesi za rushwa ya ngono kwa kuogopa jamii itawachukuliaje,  Her Initiative kupitia jukwaa la Panda Digital limefungua kipengele kitakacho muwezesha msichana kutoa taarifa za matukio ya rushwa ya ngono
pandadigital.co.tz
British Institute in Eastern Africa (@the_biea) 's Twitter Profile Photo

📢From sustainable development in arid but resilient landscapes in #Africa to creating new economic and employment opportunities for pastoralists. ✅ 👉Join us at the BIEA Annual Lecture tinyurl.com/366jaexd East African Centre for Forced Migration Eastern African Archaeology Online Global East African history

📢From sustainable development in arid but resilient landscapes in #Africa to creating new economic and employment opportunities for pastoralists. ✅

👉Join us at the BIEA Annual Lecture tinyurl.com/366jaexd

<a href="/migrationke/">East African Centre for Forced Migration</a> <a href="/EastAfricArchOn/">Eastern African Archaeology Online</a> <a href="/GlobalEAfrica/">Global East African history</a>
UNICEF Tanzania (@uniceftanzania) 's Twitter Profile Photo

Shule imekusudiwa kuwa mahali ambapo watoto watahisi kuwa salama. Nidhamu ya kikatili ni aina ya ukatili dhidi ya watoto. Ni wakati wa kufikiria upya shule kuwa mahali ambapo watoto watafurahia kujifunza bila hofu. Ni hatua gani mbadala zinaweza kutumika kuwafunza nidhamu watoto?

Shule imekusudiwa kuwa mahali ambapo watoto watahisi kuwa salama. Nidhamu ya kikatili ni aina ya ukatili dhidi ya watoto. Ni wakati wa kufikiria upya shule kuwa mahali ambapo watoto watafurahia kujifunza bila hofu.
Ni hatua gani mbadala zinaweza kutumika kuwafunza nidhamu watoto?
Evelyne Mrema🇹🇿💕 (@queenstan4) 's Twitter Profile Photo

And I can’t wait!! I wouldn’t be the young woman I am without the strong women in my life.They inspire me daily…all of them.Happy international women day to all you wonder women out there🫶🏼✨ #InternationalWomenDay #WomenHistoryMonth

And I can’t wait!! I wouldn’t be the young woman I am without the strong women in my life.They inspire me daily…all of them.Happy international women day to all you wonder women out there🫶🏼✨
#InternationalWomenDay #WomenHistoryMonth