Zahoro Muhaji
@zmuhaji
Ordinary person. Among the founders and CEO for @TanzaniaSA. My mantra “There is a World out there”. Wellbeing-Prosperity- The pursuit of Happiness.
ID: 2861079091
17-10-2014 19:41:42
13,13K Tweet
7,7K Followers
5,5K Following
Benki ya NMB Bank Plc imetiliana saini Hati ya Mashirikiano na Korea Finance for Construction Corporation (KFINCO) kuhusu kushirikiana katika masuala ya mikopo na dhamana kwa makampuni ya ujenzi. Hati hizo zilitiwa saini na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ruth Zaipuna na Rais wa
Katika juhudi za Ubalozi wa Tanzania Seoul kueneza Lugha yetu ya Kiswahili, Mhe. Balozi Togolani Mavura amefanya Mahojiano na televisheni maarufu nchini Korea ijulikanayo kama Arirang kuhusu Lugha ya Kiswahili na umuhimu wake.
Health Diplomacy. Togolani Mavura 👏🏿👏🏿👏🏿
#Start Up School of Workshop #24th September 2024 #09:00 am to 6:30 pm #Lecture Theater 5 Muhimbili University #Save the Date# linkedin.com/posts/muhimbil…
Walter Bgoya, author and icon of publishing in #Africa, has received the Outstanding African Studies Award of the African Studies Association of #UK. He is Chairman and Founder of Mkuki na Nyota. Please join me in congratulating this #Tanzanian unsung hero. Oxford Brookes University
Nimewapokea Mheshimiwa Innocent Bashungwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Mheshimiwa Deo Ndejebi, Waziri wa WIZARA YA ARDHI jijini Seoul. Nimepata wasaa wa kuwapatia taarifa ya maandalizi ya ushiriki wao kwenye Global Conference for Infrastructure Development. Ushiriki wao ni matokeo