Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile
Boniface Jacob

@exmayorubungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov,
Ubungo councilor 2010-2020
BA.Ed UDSM alumni
CHADEMA Member

ID: 1370193468

calendar_today21-04-2013 18:11:50

17,17K Tweet

503,503K Takipçi

8,8K Takip Edilen

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

FROM KISUTU MAGISTRATE COURT Mimi na MalisaGJ Tumepata backup support kutoka kwa paratrooper Fortunatus Buyobe from Kigamboni regiment Fortunatus Buyobe ameitwa na ACP F. Mafwele kituo cha Polisi Central. Tukitoka hapa tutamsindikiza mpigananji mwenzetu kwenda Kuripoti. Wakati huu wa

FROM KISUTU MAGISTRATE COURT

Mimi na <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a> Tumepata backup  support kutoka kwa paratrooper <a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> from Kigamboni regiment 

<a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> ameitwa na ACP F. Mafwele kituo cha Polisi Central.

Tukitoka hapa tutamsindikiza mpigananji mwenzetu kwenda Kuripoti.

Wakati huu wa
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Kamanda Bukumbi shikamoo..! Vipi hiyo taarifa ya 23 August 2024 Kutupwa miili miwili ya vijana wawili wakiwa na chupi (boksa) wanaokadiliwa kuwa na umri chini ya miaka 30 wilaya ya Kilolo, Kata ya Mahenge, Kijiji cha Igemi ambayo askari wa Jeshi wa Polisi waliichukua baada ya

Kamanda Bukumbi shikamoo..!

Vipi hiyo taarifa ya 23 August 2024 Kutupwa miili miwili ya vijana wawili wakiwa na chupi (boksa) wanaokadiliwa kuwa na umri chini ya miaka 30 wilaya ya Kilolo, Kata ya Mahenge, Kijiji cha Igemi ambayo askari wa Jeshi wa Polisi waliichukua baada ya
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Asanteni wana Dar es saalam....! Mmeonyesha upendo,umoja na mshikamano dhidi yetu,Mimi na rafiki yangu MalisaGJ wala hatujutii kuwapigania na kamwe hatutoacha kuwapigania. Leo tumeshinda Mahakamani tangu saa 2: Asubuhi lakini saa 6 :00 mchana serikali imeshindwa kuleta

Asanteni wana Dar es saalam....!

Mmeonyesha upendo,umoja na mshikamano dhidi yetu,Mimi na rafiki yangu <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a>  wala hatujutii kuwapigania na kamwe hatutoacha kuwapigania.

Leo tumeshinda Mahakamani tangu saa 2: Asubuhi lakini saa 6 :00 mchana serikali imeshindwa kuleta
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

When he visited Katonga in 1985, Fred Rwigyema Gisa had a bandage on his right. On his left side, Che Guevara & Staff Sergeant Kitojo

When he visited Katonga in 1985, Fred Rwigyema Gisa had a bandage on his right.

On his left side, Che Guevara &amp; Staff Sergeant Kitojo
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

ACP David Misime umeingia katika mfumo wetu kizembe sana..! 1. You look Smart ila kwa hili la Viongozi wa CHADEMA na Kikao cha ZOOM umejidhalilisha sana. Kachero mzuri ni yule anaye hakiki taarifa zake kabla ya kuziweka hadharani au kuzitumia Au tuseme na wewe umeingia katika

ACP David Misime umeingia katika mfumo wetu kizembe sana..!

1. You look Smart ila kwa hili la Viongozi wa CHADEMA na Kikao cha ZOOM umejidhalilisha sana.

Kachero mzuri ni yule anaye hakiki taarifa zake kabla ya kuziweka hadharani au kuzitumia 

Au tuseme na wewe umeingia katika
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

PARATROOPER, HUKUTAKIWA KUWAAMINI POLISI! Paratrooper unakumbuka maneno yangu ya Jana? 1.Kitendo cha kupokelewa na msaidizi wa Mafwele na kuanza kukudhihaki kuhusu habari ya Afande Fatuma ilikuwa ni ujumbe tosha kuwa wanakutafuta kwa sababu wamepewa maelekezo kutoka Juu. 2.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Msikubali kuingia huu mtego wa kushambulia Viongozi wakuu wa chama kwa hisia na uzushi. Kama kuna mtu ana taarifa yeyote ya hujuma dhidi ya chama , sehemu na mahala sahihi pakupeleka tuhuma au malalamiko panajulikana au namna ya kuwafikia viongozi wengine wa chama ili wachunguze

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Huyu DJ wa Wasafi FM muda huu ni nani..? Mpumbavu anajua sana,Kapandishia biti ya amapiano wimbo wa mikasi wa Mangwair na Mchizi Mox. Mwambieni bado ni muda wa Sabato huu,atalipa gharama ya kufanya nitingishe kichwa na miguu Si asubiri hata Jioni ifike ndiyo anifanyie hivi.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Picha hii ilipigwa siku ya tarehe 28 November 2020 nikiwa katika kikao cha kamati kuu ya CHADEMA iliyokuwa imeketi Ledger Plaza, Bahari Beach Hotel,Dar es saalam. Wakati huo nilikuwa mjumbe wa Kamati Kuu kupitia katiba ya CHADEMA ibara ya 7:7:14 “Wawakilishi watano wa madiwani

Picha hii ilipigwa siku ya tarehe 28 November 2020 nikiwa katika kikao cha kamati kuu ya CHADEMA iliyokuwa imeketi Ledger Plaza, Bahari Beach Hotel,Dar es saalam. Wakati huo nilikuwa mjumbe wa Kamati Kuu kupitia katiba ya CHADEMA ibara ya 7:7:14

“Wawakilishi watano wa madiwani
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

UPDATES KUHUSU WITO WA POLISI..! RPC ameomba tuongozane naye kuelekea Ofisi za Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kwenda kuonana na Afande Murilo.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

UPDATES KUHUSU WITO WA POLISI Tumejadiliana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es saalam, Jumanne Muliro pamoja na RPC wa Kinondoni Kitinkwi kuhusu tukio la kurudisha fomu yangu ya kuwania uenyekiti wa Kanda ya Pwani Dar es saalam. Baada ya watu wangu kuandikia barua Jeshi la

UPDATES KUHUSU WITO WA POLISI 

Tumejadiliana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es saalam, Jumanne Muliro pamoja na RPC wa Kinondoni Kitinkwi kuhusu tukio la kurudisha fomu yangu ya kuwania uenyekiti wa Kanda ya Pwani Dar es saalam.

Baada ya watu wangu kuandikia barua Jeshi la
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Raha ya siasa ni watu...! Na mwanasiasa ili upate watu na uwe na watu,hakikisha 1.wanakuamini 2.Unawasikiliza na wanakusikiliza 3.Unaongea lugha moja na watu wako. Asante sana Dar es Salaam,Kanda ya Pwani,najihisi kuwa na wajibu kwenu pamoja na deni kubwa sana kwenu.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Nyooooo,leo ni Mr Mbowe 😂😂😂😂 siyo Nkurunzinza tena..? Wakati tunasubiri Jumatatu ifike ziishe siku 5 ulizopewa, kula hii ngoma "Mtoto kautaka" By Jaiva. "Huyo mtoto (Huyo mtoto) Masela huyo mtoto, huyo (Huyo mtoto) (Jaivah).." "Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka,

Nyooooo,leo ni Mr Mbowe 😂😂😂😂 siyo Nkurunzinza tena..?

Wakati tunasubiri Jumatatu ifike ziishe siku 5 ulizopewa, kula hii ngoma "Mtoto kautaka" By Jaiva.

"Huyo mtoto
(Huyo mtoto)
Masela huyo mtoto, huyo
(Huyo mtoto)
(Jaivah).."

"Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka,
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

PASTA ASIKILIZE “MTOTO KAUTAKA” wimbo wa JAIVAH 1.Mheshimiwa Freeman Mbowe amemuandikia kusudio la kumshtaki kada wa CCM Peter Msigwa, akimtuhumu kumchafua, kumdhalilisha na kumshushia heshima mbele ya jamii Kufuatia matamshi mbalimbali ambayo Peter Msigwa amekuwa akiyaongea

PASTA ASIKILIZE “MTOTO KAUTAKA” wimbo wa JAIVAH

1.Mheshimiwa Freeman Mbowe amemuandikia kusudio la kumshtaki kada wa CCM Peter Msigwa, akimtuhumu kumchafua, kumdhalilisha na kumshushia heshima mbele ya jamii

Kufuatia matamshi mbalimbali ambayo Peter Msigwa amekuwa akiyaongea