Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profileg
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga

@ezekiel_kamwaga

Editor at Azam Media. Founder @GazetilaDunia. Host a Podcast #EzekielKamwagaShow. I analyze African Politics. Researcher. @soas Alumni

ID:1241782065223344128

calendar_today22-03-2020 17:42:19

10,0K Tweets

28,5K Followers

676 Following

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Kwa kweli kijasho kilitoka😂😂. Ila usiku nilisikia njaa ikabidi nitafute mahali mamsap anapoweka maandazi nikapiga na maji kidogo. Saa sita usiku hivi. Leo itabidi nilale mapema

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Huu ushauri wako niliuona siku ya kwanza ulipoposti lakini nikauchukulia poa. Leo naahidi kuufuata kwa mwezi mzima kwanza. Nikinogewa, naongeza dozi

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Msiogope mabadiliko kwenye vyama. Leo hii, ⁦Dorothy Semu⁩ anapeleka ⁦ACTWazalendo⁩ katika maeneo ambako pengine ⁦Zitto MwamiRuyagwa Kabwe⁩ angepata taabu kuingia. Anazungumza na kuwaelewa watu kwa namna ambayo huenda ZZK asingeweza. Mabadiliko ni muhimu. Wakati wote, popote

Msiogope mabadiliko kwenye vyama. Leo hii, ⁦@SemuDorothy⁩ anapeleka ⁦@ACTwazalendo⁩ katika maeneo ambako pengine ⁦@zittokabwe⁩ angepata taabu kuingia. Anazungumza na kuwaelewa watu kwa namna ambayo huenda ZZK asingeweza. Mabadiliko ni muhimu. Wakati wote, popote
account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Maneno ya Mchangaji Mlayi: 'Usharika una bahati kubwa ya kupata viongozi WAKUBWA wawili wa VYAMA VIKUBWA vya siasa'. Nimeweka herufi kubwa kwa msisitizo. Nina maana yangu😂😂😂

account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Jana mhudumu wa ⁦Precision Air⁩ Dar - Kili kanivunja mbavu. Nimekaa siti ya nyuma kabisa kabla ndege haijaanza kuruka kanifuata kuomba nikakae siti ya mbele kidogo. Weight yangu ingeweza kusababisha ndege ipate taabu kupaa😂😂. Sasa sina ujanja, “Janabism” itanihusu 😝

Jana mhudumu wa ⁦@PrecisionAirTz⁩ Dar - Kili kanivunja mbavu. Nimekaa siti ya nyuma kabisa kabla ndege haijaanza kuruka kanifuata kuomba nikakae siti ya mbele kidogo. Weight yangu ingeweza kusababisha ndege ipate taabu kupaa😂😂. Sasa sina ujanja, “Janabism” itanihusu 😝
account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Gone too soon.

Ulale salama. Ulizaliwa wakati mimi nikiwa nakaribia kumaliza shule ya msingi. Lakini kazini, ulifikia hatua ya kunifundisha namna ya ‘kubamba’ kwenye dunia ya mitandao. Sitasahau msaada wako, na Askofu ⁦Makinikia⁩ wakati tulipokuwa ughaibuni Zambia. RIP

Gone too soon. Ulale salama. Ulizaliwa wakati mimi nikiwa nakaribia kumaliza shule ya msingi. Lakini kazini, ulifikia hatua ya kunifundisha namna ya ‘kubamba’ kwenye dunia ya mitandao. Sitasahau msaada wako, na Askofu ⁦@AskofuTZA⁩ wakati tulipokuwa ughaibuni Zambia. RIP
account_circle
Erick Kabendera(@kabsjourno) 's Twitter Profile Photo

It was very nice to meet African football legend Emmanuel Adebayor and a great conversation, as always, with Dr Mo Ibrahim, whose determination to promote governance in Africa remains unfazed. I have always enjoyed his candidness, insights, and hope for Africa’s future.

It was very nice to meet African football legend Emmanuel Adebayor and a great conversation, as always, with Dr Mo Ibrahim, whose determination to promote governance in Africa remains unfazed. I have always enjoyed his candidness, insights, and hope for Africa’s future.
account_circle
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Smell the coffee!!! Kwa anayejua feelings za watu kwa sasa, jambo hili angelifanya bila publicity. Lingeenda kimya kimya tu. Naamini kuna viongozi hawajui kabisa nini kinaendelea huku mitaani.

Tito Magoti, PG(@TitoMagoti) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Kuu ya Botswana imeamuru mahabusu wapewe huduma ya intaneti gerezani ili kuwasaidia kujiandaa na kesi zao.

Mahakama imeamuru kwamba, intaneti sio anasa, bali ni haki ya binadamu na nyenzo muhimu katika dunia ya leo.

account_circle
Kaé(@Semkae) 's Twitter Profile Photo

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga Siku wakipata hela nzuri wafanye survey simple tu. 'Ukisikia jina ACT-Wazalendo, nini cha kwanza kinakujia kichwani mwako. Andika kwenye kadi hii kwa kutumia neno moja litakalowakilisha kilichokujia kichwani.' Halafu wakusanye maoni wawaite wabobezi wachambue.

account_circle