FlavianaMatataFdn (@fmfound) 's Twitter Profile
FlavianaMatataFdn

@fmfound

Empowering Girls through Education

ID: 2832831574

linkhttp://www.flavianamatatafoundation.org calendar_today15-10-2014 22:11:20

1,1K Tweet

1,1K Followers

61 Following

FlavianaMatataFdn (@fmfound) 's Twitter Profile Photo

Leo timu yetu imefika shule ya sekondari Salawe, inayopatikana kijiji cha Azikio kata ya Salawe katika halmashauri ya Shinyanga vijijini , shule hii ina jumla ya wanafunzi 655 wa kidato cha kwanza mpaka cha nne #FMFProjects

“Mwaka juzi tulifika shuleni hapa Salawe kwa mara ya kwanza na mradi wa donate a period na sasa tumekuja kwa ajili ya kuendelea na kufanya evaluation Pamoja na kufungua Klabu ya taasisi ya Flaviana Matata ". Lineth Masala meneja Miradi Taasisi ya Flaviana Matata #FMFProjects

“Kama ilivyo kwenye taasisi yetu lengo kubwa kwenye klabu hii ya Flaviana Mataya ni kuongeza ufaulu wa wanafunzi , kuwatengenezea kujiamini Pamoja na kutengeneza viongozi bora kwa ajili ya kesho " Lineth Masala meneja miradi wa taasisi ya Flaviana Matata

“Klabu zetu za FMF hazichagui jinsia , kwa sasa hii ni klabu ya saba tunayoifungua siku ya leo, tayari tuna klabu nne mkoa wa DSM na mbili Mkoa wa Njombe " Lineth Masala meneja wa Taasisi ya Flaviana Matata #FMFprojects

“Klabu zetu hizi ni jumuishi na tutawakutanisha na wanafunzi wa shule zingine lakini pia kukutana na wanafunzi toka mikoa mingine . Hapa ni kuwajengea uwezo na kuwafanya muwe bora " Lineth Masala Meneja mradi taasisi ya FMF #FMFprojects

Tumefika shule ya sekondari Ndala na tumeweza kutoa elimu jumuishi (kwa watoto wa kike na wa kiume ) ya nadharia na vitendo kuhusu Hedhi Salama na Afya Ya Uzazi . Elimu hii imeenda sambasamba na Donate a period mradi unaowezesha wasichana kupata pedi mwaka mzima #FMFProjects

Tumefika shule ya sekondari Ndala na tumeweza kutoa elimu jumuishi (kwa watoto wa kike na wa kiume ) ya
nadharia na vitendo kuhusu Hedhi Salama na Afya Ya Uzazi . Elimu hii imeenda sambasamba na Donate a period mradi unaowezesha wasichana kupata pedi mwaka mzima  #FMFProjects
FlavianaMatataFdn (@fmfound) 's Twitter Profile Photo

“Balehe inampata binti au kijana na hapa wanabadilika na kukua kifikra na kimaumbile . Wasichana hupata hedhi na kutanuka nyonga , sauti kua nyororo . Huku wavulana wakipata sauti nzito , kifua kutanuka na ndoto nyevu " Maria Mhoja mwanafunzi Ndala sekondari. #FMFProjects

Je kuna tofauti kati ya kuvunja ungo na hedhi ? Swali toka kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Ndala . Tujibu kwa pamoja kwenye poll #FMFProjects

FlavianaMatataFdn (@fmfound) 's Twitter Profile Photo

“Hedhi salama ni hali ya msichana aliye ktk hedhi kupata pedi / Doso , kupata maji ya kujisafishia , chumba cha kujisitiri na kubadilishia vifaa vyake pia kupata sehemu ya kutupa au kuchoma pedi anapomaliza " Agness James Mwanafunzi wa shule ya sekondari Ndala #FMFProject

“Tunaamini katika kuvunja ukimya unaozunguka suala la hedhi . Hedhi ni jambo la kawaida na hedhi salama ni haki ya kila binti. Mara kadhaa tumesikia malalamiko mtu akichafuka anachekwa ,hii sio sawa. Ukiona msichana amechafuka mfuate umwambie kwa siri” Lineth Masala #FMFprojects

“Ninawashukuru sana kwa kutokutuacha wavulana kwenye elimu hii. Huku kwetu hedhi ni kitu ambacho wanaona hakituhusu lakini tuna wadogo na dada zetu wanapitia tunashindwa hata kuwasaidia "Frank Zakayo Elia #FMFProjects

Tumesikitishwa sana na kauli ya RPC Theopista Mallya juu ya kesi ya binti aliyebakwa na kulawitiwa. Tunataka sheria izingatiwe na watuhimiwa wote wachukuliwe hatua stahiki kwa mujibu wa sheria. @jeshi_la_polisi @gwajimad #EndGBV #JusticeforBinti

Tumesikitishwa sana na kauli ya RPC Theopista Mallya juu ya kesi ya binti aliyebakwa na kulawitiwa.

Tunataka sheria izingatiwe na watuhimiwa wote wachukuliwe hatua stahiki kwa mujibu wa sheria.

@jeshi_la_polisi
@gwajimad

#EndGBV
#JusticeforBinti
FlavianaMatataFdn (@fmfound) 's Twitter Profile Photo

Tunalishukuru Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kufanya maamuzi sahihi kuondoa kipengele 10 (b), hii ni hatua nzuri katika kupambana na rushwa ya ngono. Hongera nyingi pia kwa wadau kwa kupaza sauti kwenye jambo hili muhimu. #KataaRushwaYaNgono