πŒπ€π‘π‹π„π˜(@funjojr) 's Twitter Profileg
πŒπ€π‘π‹π„π˜

@funjojr

THE GIANT LOOKS IN THE MIRROR AND SEES NOTHING

DONDA

ID:1146783022282358785

calendar_today04-07-2019 14:09:13

248,3K Tweets

302,0K Followers

2,6K Following

TASSAA STUDY ABROAD(@tassaa99) 's Twitter Profile Photo

Engineer na Architect wa hili jengo unahisi amesoma nchi gani? TASSAA STUDY ABROAD tunasema amesoma China kwa maana Wana the best architects in the world......

Engineer na Architect wa hili jengo unahisi amesoma nchi gani? @tassaa99 tunasema amesoma China kwa maana Wana the best architects in the world......
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Vyanzo vya uzalishaji wa umeme Tanzania kwa mwaka 2021:

1. Gesi - 61.03%

2. Maji - 35.97%

3. Nchi jirani - 1.68%

4. Mafuta - 1.12%

5. Tungamotaka - 0.19%

Vyanzo vya uzalishaji wa umeme Tanzania kwa mwaka 2021: 1. Gesi - 61.03% 2. Maji - 35.97% 3. Nchi jirani - 1.68% 4. Mafuta - 1.12% 5. Tungamotaka - 0.19%
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Can’t Afford Continued Use of Dirty Energy. Here’s Why
thechanzo.com/2022/11/01/tan…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Samia Blames Dar Water Woes on β€˜Irresponsible’ Human Activities
thechanzo.com/2022/11/01/sam…

account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Usiwaze kuhusu usafiri Download @LittleRideTz ' na Uokoe Mpaka Shs 3,000 katika Safari yako ya MwanzoπŸ’―βœŒ

Pata usafari wa uhakika na kuridhisha ndani ya muda mfupi. Promo Code Andika Mcinika Upate punguzo la Shilingi 4,000 katika safari yako ijayo

Usiwaze kuhusu usafiri Download @LittleAppTz ' na Uokoe Mpaka Shs 3,000 katika Safari yako ya MwanzoπŸ’―βœŒ Pata usafari wa uhakika na kuridhisha ndani ya muda mfupi. Promo Code Andika Mcinika Upate punguzo la Shilingi 4,000 katika safari yako ijayo
account_circle
James Munisi πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@NjiwaFLow) 's Twitter Profile Photo

KIKOSI HATARI CHA ISRAEL (MOSSAD) KILIVYOAMUA KUMSAKA ADUI WAO.

πŸ’¨Kuna Mauaji yalifahamika Kama The Holocaust au The Shoah enzi hizo za vita ya pili ya dunia.

Haya yalikuwa ni Mauaji yaliyotekelezwa na Nazi Germany juu ya Wayahudi waliokuwa wakiishi ulaya enzi hizo.

KIKOSI HATARI CHA ISRAEL (MOSSAD) KILIVYOAMUA KUMSAKA ADUI WAO. #UZI πŸ’¨Kuna Mauaji yalifahamika Kama The Holocaust au The Shoah enzi hizo za vita ya pili ya dunia. Haya yalikuwa ni Mauaji yaliyotekelezwa na Nazi Germany juu ya Wayahudi waliokuwa wakiishi ulaya enzi hizo.
account_circle
Tunzaa Fintech Inc.(@tunzaaHQ) 's Twitter Profile Photo

Tulipata nafasi ya kuzungumzia TUNZAA kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu kwenye kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia

Tulipata nafasi ya kuzungumzia TUNZAA kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu kwenye kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia
account_circle
TASSAA STUDY ABROAD(@tassaa99) 's Twitter Profile Photo

Mikoa inayoongaza kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu nje ya nchi kwa takwimu za TASSAA STUDY ABROAD ni
1. Kagera
2. Dar es salaam
3. Moshi
4. Mbeya
5. Arusha
6. Geita

Mkoa wapo ni upi na kwann huendi kusoma abroad?

Mikoa inayoongaza kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu nje ya nchi kwa takwimu za @tassaa99 ni 1. Kagera 2. Dar es salaam 3. Moshi 4. Mbeya 5. Arusha 6. Geita Mkoa wapo ni upi na kwann huendi kusoma abroad?
account_circle