Sumu ya nyoka Jr. (@g_banyukwa) 's Twitter Profile
Sumu ya nyoka Jr.

@g_banyukwa

ID: 1597702031128629252

calendar_today29-11-2022 21:20:45

432 Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

DjsinyoritaOfficial (@djsinyoritatz1) 's Twitter Profile Photo

Kodi zetu zilizotumika kununulia mitutu, magari ya maji washawasha, na mishahara Kwa askari, vitu hivyo vinatumika kutuadhibu sisi walipa kodi. MUNGU UTUSAIDIE πŸ™

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

TANGANYIKA ni Neno la Kishona lenye Maana ya mahali maisha yalipoanzia. Nchi mpya! au Mahali Mungu alipoanzia uumbaji?Hivyo Tanganyika ni jina lenya nguvu yenye asili ya uumbaji. DAI KATIBA MPYA, uwepo wa TANGANYIKA NA KUHARAMISHWA KWA IGA YA TANZANIA NA DUBAI.

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS, Chaapaaa REPOST 1000 FREEMAN MBOWE THE PRISEDNT AJAYE NO FEAR (2025) Nitakupa kura nyangu baba βœŒοΈπŸ™

SIR JEFFβš‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Utagundua kitu, wamejaribu kila option wamebuma β€”Wamejaribu kunyamazisha watu, wamebuma β€”Wamejaribu kuwafunga wakosoaji, wamebuma β€”Wamejaribu kuteka wapambanaji, wamebuma β€”Wamejaribu kuua viongozi, wamebuma Kilichobaki ni kitu kimoja tu β€”Watajaribu kuiba uchaguzi, WATABUMA

Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Mimi kama mimi hadi dakika hii siwadai mshapigania haki na uhuru wa nchi hii, ila Bado raia hawajui mbaya wao ni nani, Whatever the weather we love you, Mungu awalinde Mungu awaongozeπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ˜­πŸ˜­

Mimi kama mimi hadi dakika hii siwadai mshapigania haki na uhuru wa nchi hii, ila Bado raia hawajui mbaya wao ni nani, Whatever the weather we love you, Mungu awalinde Mungu awaongozeπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ˜­πŸ˜­
Ε€Ε”Βͺp qΕ³Ι™Δ™Ε‹ πŸ’ƒ (@miss__yanga) 's Twitter Profile Photo

Re-tweet moja ya nguvu kwa anachokifanya huyu jamaa leoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œpamoja na crown media kwa ujumla. Media zingin muig3πŸ”₯

Re-tweet moja ya nguvu kwa anachokifanya huyu jamaa leoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œpamoja na crown media kwa ujumla.

    Media zingin muig3πŸ”₯
DjsinyoritaOfficial (@djsinyoritatz1) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu ambao mpaka sasa wapo kama hiyo picha hapo chini, wamefumba macho hawataki kuona na kukemea serikali kwa yaliyoisibu Tanzania. Siku likiwakuta na sisi tutaziba masikio na macho, mpambane wenyewe.

Kuna watu ambao mpaka sasa wapo kama hiyo picha hapo chini, wamefumba macho hawataki kuona na kukemea serikali kwa yaliyoisibu Tanzania. 

Siku likiwakuta na sisi tutaziba masikio na macho, mpambane wenyewe.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Not bad for today. We got off to a good start, pals. We gave them a good start. I know, it was hard, hence we’re newbies to these acts of demonstration. May God bless all those who came out today. You did your part with generosity. Every step counts, comrades. Be proud. πŸ’ͺπŸΎπŸ‘

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Ambaye hajawahi kujaribu hawezi kujifunza jambo jipya. Hatua moja huanzisha nyingine. Harakati za kutaka mabadiliko huanza kama chemchem kabla ya kuwa mto kubwa utiririshao maji mengi. Babu zetu walianza kupigania Uhuru tangu 1900s, Tanganyika ikaja kupata Uhuru kamili 1961.

Ambaye hajawahi kujaribu hawezi kujifunza jambo jipya. Hatua moja huanzisha nyingine. Harakati za kutaka mabadiliko huanza kama chemchem kabla ya kuwa mto kubwa utiririshao maji mengi. Babu zetu walianza kupigania Uhuru tangu 1900s, Tanganyika ikaja kupata Uhuru kamili 1961.
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Tusisahau kwamba lengo la jana halikuwa maandamano. Lilikuwa kukomeshwa kwa utekaji na kuachiliwa kwa waliotekwa. Suala hili liko palepale l