Gebo Godwin (@gebor_28) 's Twitter Profile
Gebo Godwin

@gebor_28

ID: 1703425862169747456

calendar_today17-09-2023 15:10:13

73 Tweet

30 Followers

500 Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Anyways, wakati viwanda vya sukari vinashindwa kuzalisha sababu ya mvua, Tanesco hawana umeme sababu ya ukosefu wa mvua πŸ˜‚ I love this country.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Pesa ambayo ilitakiwa kutolewa kama rambirambi katika msiba wa ndugu yetu kama angefariki kwa risasi na kuliwa na wanyama wakali porini, kwa kuwa lengo la wachomaji na watekaji halikutimia, imetolewa na mchomaji kama mchango wa matibabu kwa masimango. PESA HIYO IMERUDISHWA. πŸ’ͺ🏾

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

β€˜How Edgar Mwakabela (SATIVA) was abducted, handcuffed, tortured, gunshot, and dumped in the wilderness.’ All details come from the mouth of Edgar Edson Mwakabela, SATIVA17, who was abducted on Sunday, 23.06.2024, in Dar es Salaam and found on 27.06.2024 in Katavi. The events

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

Ni muhimu wasikilizwe, Ni vyema Madai yao yakatafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Tanzania ni yetu sote, tuipende, tuilinde na tuitunze.