CAICEDO ๐๐น๐ฟ.
@georgeambakisye
mwenyezi MUNGU atakulinda utokapo na uingiapo.
ID: 1826258659325739008
21-08-2024 14:03:24
1,1K Tweet
220 Followers
502 Following
๐ฆ๐๐ฅ๐ ๐ญ๐ ๐จ๐๐...๐ ๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐๐๐ต๐๐๐ ๐จ๐ธ๐ฒ ๐ช๐ฎ ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐บ๐ธ๐ฒ ๐ ๐๐๐ป๐ฑ๐ผ ๐ก๐ฎ ๐๐ถ๐๐ถ๐ฎ ๐ญ๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฎ๐ป๐ถ. ๐๐ฅ๐๐ฃ ๐๐๐ค๐ง๐ฉ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐งต
Peter Patience Kibatala, Peter Kibatala, knows things, bablai. Kinachoendelea mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu usiku huu (regardless na maamuzi ya baadae ya Mahakama), No doubt. Kibatala ni ๐.
Hivi sasa ni saa 7:55 kwa saa za Afrika ya Mashariki. Kesi ya Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob, Boniface Jacob inaendelea muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Jamhuri wamemtupia Boniface Jacob mashtaka mawili. Mashtaka mawili ambayo Jamhuri wanamtuhumu
Leo ndio nimetumiwa zile picha nilizopiga COCO BEACH 23/6. Yani masaa mawili baada ya hapo ndio nikatekwa na MAFWELE. Nimeziangalia mpaka nalia. Police Force TZ chini ya WAMBURA wanaua vijna wadogo kabisa hat hawajli.๐ญ Wamelipa kazi ZOMBIE MAFWELE limalize vijana nchi hii Mlaaniwe.