๐•„๐•Ž๐”ธโ„•๐”ธ ๐•Ž๐”ธ โ„•๐”พ๐•Œโ„๐•Œ๐•„๐•†(@harris_hadson) 's Twitter Profileg
๐•„๐•Ž๐”ธโ„•๐”ธ ๐•Ž๐”ธ โ„•๐”พ๐•Œโ„๐•Œ๐•„๐•†

@harris_hadson

โ€” Isaya 54:14

โ€œUtathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. โ€

ID:896256211015921666

calendar_today12-08-2017 06:25:07

6,5K Tweets

1,0K Followers

892 Following

Rev. Godwin Chilewa(@godchilewa) 's Twitter Profile Photo

MUNGU angeweza kumuua ibilisi ili dhambi isiwepo duniani. Hakufanya hivyo, badala yake akatoa uhuru wa kuchagua mema na mabaya ili tumwabudu kwa haki (Kumb 30:19). Kumbe Tuwafundishe wa TZ kuwa na HOFU ya MUNGU ili waichukie dhambi. Kuifungia TWEETER hakumpunguzii kitu IBILISI

MUNGU angeweza kumuua ibilisi ili dhambi isiwepo duniani. Hakufanya hivyo, badala yake akatoa uhuru wa kuchagua mema na mabaya ili tumwabudu kwa haki (Kumb 30:19). Kumbe Tuwafundishe wa TZ kuwa na HOFU ya MUNGU ili waichukie dhambi. Kuifungia TWEETER hakumpunguzii kitu IBILISI
account_circle
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Moyo wajiwe ndani yako hauitikii ibada hauitikii maombi hauitikii uaminifu hausikii lolote hata Mungu akikusemesha mpaka pale umeanguka ndipo unashituka

Unahitaji ubatizo wa moto ndani yako ili uzishike njia zake bila Roho Mtakatifu hawezi shika njia za Mungu

Ezekieli 36:26-27

account_circle
๐•„๐•Ž๐”ธโ„•๐”ธ ๐•Ž๐”ธ โ„•๐”พ๐•Œโ„๐•Œ๐•„๐•†(@harris_hadson) 's Twitter Profile Photo

โ€œNdiposa kwa matunda yao mtawatambua. โ€โ€” Mathayo 7:20

๐ŸJitahidi sana kuwa baraka kwa kwa wengine ili utukufu ufike kitini pa Enzi๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ

account_circle
Elisha(@NduguPallangyo) 's Twitter Profile Photo

Fortunatus Buyobe Praise ye the LORD. Praise God in his sanctuary: praise him in the firmament of his power.

Praise him for his mighty acts: praise him according to his excellent greatness.

facebook.com/share/v/iLcXSsโ€ฆ

account_circle
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Sadaka toa kwa kadiri ya uwezo wako kwa furaha kwa moyo mkunjufu sio kwa lazima bali kwa Imani na upendo ikiweza toa zaidi ya uwezo wako kwa sababu una mpenda Mungu

Hii itakusaidia kujiepusha na kuahidi zaidi ya uwezo wako mpaka ukaonekana mzinguaji itakusaidia kukuepusha na

account_circle
๐Œ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐€๐ฌ๐ข๐ฒ๐ž ๐๐š ๐…๐š๐ข๐๐š(@MtumwaWaYesu) 's Twitter Profile Photo

Kwa afya ya macho kula karoti ๐Ÿฅ•
Kwa mifupa na kinga imara, kula mayai ๐Ÿฅš
Kwa afya njema ya tezi dume, kula nyanya ๐Ÿ…
Kwa figo bora, kunywa maji ๐Ÿฅ›
Kwa moyo wenye afya, kula parachichi ๐Ÿฅ‘
Kwa kikohozi, kula nanasi ๐Ÿ
Kwa msongo wa mawazo, kula ndizi ๐ŸŒ
(kwa hisani ya FEM)

Kwa afya ya macho kula karoti ๐Ÿฅ• Kwa mifupa na kinga imara, kula mayai ๐Ÿฅš Kwa afya njema ya tezi dume, kula nyanya ๐Ÿ… Kwa figo bora, kunywa maji ๐Ÿฅ› Kwa moyo wenye afya, kula parachichi ๐Ÿฅ‘ Kwa kikohozi, kula nanasi ๐Ÿ Kwa msongo wa mawazo, kula ndizi ๐ŸŒ (kwa hisani ya FEM)
account_circle
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 119:9-13
[9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?
Kwa kutii, akilifuata neno lako.

[10]Kwa moyo wangu wote nimekutafuta,
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.

[11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.

[12]Ee BWANA, umehimidiwa,

account_circle
๐•„๐•Ž๐”ธโ„•๐”ธ ๐•Ž๐”ธ โ„•๐”พ๐•Œโ„๐•Œ๐•„๐•†(@harris_hadson) 's Twitter Profile Photo

JE KWELI MUNGU HAPENDI KELELE?
๐Ÿโ€œMwanadamu, tabiri, useme, Bwana MUNGU asema hivi; Pigeni makelele ya uchungu, Ole wa siku ile! โ€โ€” Ezekieli 30:2

๐Ÿ”ฅole wako usemaye maombi ya mtu ni kelele

MUNGU HUTAFSIRI HATA KELELE ZA MAJI SEMBUSE NYUKI, EEE MWANADAMU USIONE AIBU PIGA KELELE

account_circle