Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile
Eng.Harrison HR

@harrison_herry

Structural Engineer.
#Entrepreneur
#FootballFanatic
#Gemini

ID: 2754719893

calendar_today22-08-2014 11:37:34

35,35K Tweet

5,5K Followers

5,5K Following

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Hii Fantasy PL nayo ishaanza kua ya kikuda yani kufika point 50 tu ishakua ngumu Nisubiri Havertz apige hatrick πŸ˜‚πŸ˜‚

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Huko kwenye magroup ya VIP sijui Luxury wamewapa sababu ya mikeka kuchanika? Au nyie ni kutapeliwa tu kuhoji aanhaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huko kwenye magroup ya VIP sijui Luxury wamewapa sababu ya mikeka kuchanika?

Au nyie ni kutapeliwa tu kuhoji aanhaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Bado 3.5 months tuimalize 2024, Ndani ya huu mda unaweza achieve zaidi kuliko the last 5 years. Keep believing and push yourself beyond your comfort zone 🀝

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya Manchester City ipo mahakama ya Mwanzo au ya Wilaya? Maana hawa jamaa hawakawii kusema mashahidi hatujatokea mahakamani πŸ˜‚πŸ˜‚

Kesi ya Manchester City ipo mahakama ya Mwanzo au ya Wilaya?

Maana hawa jamaa hawakawii kusema mashahidi hatujatokea mahakamani πŸ˜‚πŸ˜‚
Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Sema wanetu mnaipambania sana hela ya Elon. Kuna ambao kila akiamka ni stori ya utekaji, kuna ambao ni maandamano, kuna wengine kitu kikitrend wanaishi nacho bila kujali, Mungu awasimamie kazi za mikono yetu. Anyway msisahau kutafuta shughuli endelevu ya hela ya uhakika πŸ˜‚πŸ˜‚

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Binti atumie hii fursa kujipatia madili ya matangazo sasa kashajihakikishia engagements za kutosha. Akipona kila baada ya siku mbili alete stori ya Tukio lilivyokua. Mungu kashamwonesha njia.

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Njia rahisi ya kuongezewa mshahara kwenye kibarua chakoπŸ‘‡ Mtumie boss wako meseji sijiii afu zima simu utanishukuru πŸ˜†πŸ˜†

Eng.Harrison HR (@harrison_herry) 's Twitter Profile Photo

Mara moja moja vaa pendeza beba iphone yako copy nenda showroom za Mlimani City kaulizie Land Cruiser zero KM bei gani omba na discount chagua rangi chukua account ya kulipia, Afu wahi magari ya Gongo la mboto ukikose siti maana parefu mno kusimama mpaka mwisho πŸ˜‚πŸ˜‚