Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile
Mohamed hussein 15

@hussein15mo

*Off. tweeter Acc. Of Mohamed Hussein Mohamed *⚽️ @simbasctanzania @taifastars_ 🇹🇿 *Tanzania best player🥇2016/2017 *Tanzania best defender🥇2021/2022

ID: 1166348601779544064

linkhttp://www.youtube.com/channel/UC-02NkjgnVRALOBKYHhl_MQ calendar_today27-08-2019 13:56:03

660 Tweet

236,236K Followers

102 Following

Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Hatujawa na wakati mzuri kwa siku za karibuni lakini lazima tukubali kwamba yameshatokea, tumejifunza na kuchukua hatua kwenda mbele ambako safari bado ni ndefu. Umoja wetu kama ilivyo #NguvuMoja ni muhimu kwetu wote tukianza na leo kwa kuja uwanjani kutushangilia.

Tuna jukumu kubwa mbele yetu ambalo kukamilika kwake linatuhitaji WANASIMBA wote kwa pamoja. Karibuni uwanjani tukaipambanie Simba yetu.

Tuna jukumu kubwa mbele yetu ambalo kukamilika kwake linatuhitaji WANASIMBA wote kwa pamoja. Karibuni uwanjani tukaipambanie Simba yetu.
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Gamers wenzangu Infinix Hot 40 Pro ndio mchongo, screen kubwa, Gaming Processor ya Mediatek Helio G99 na betry inayo tunza chaji muda mrefu sana, Hujachelewa. Wahi sasa kwenye maduka yetu ujipatie Infinix Hot 40 Pro yako. InfinixMobileTZ

Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Mechi ilikuwa ngumu lakini tumepambana na kuhakikisha tunaondoka na ushindi. Tumemaliza ya leo, focus inahamia game ijayo. 📸 @rabbihume

Mechi ilikuwa ngumu lakini tumepambana na kuhakikisha tunaondoka na ushindi. Tumemaliza ya leo, focus inahamia game ijayo.

📸 @rabbihume
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Haukuwa mchezo mwepesi kutokana na hali ya uwanja kutoruhusu kucheza mchezo wetu hivyo malengo yalikuwa kuhakikisha tunapata alama tatu ambazo kweli tumezipata. Hili tumemaliza na tunaelekeza nguvu zetu kwa Mtibwa Sugar. Morogoro see you soon. 📸 @rabbihume

Haukuwa mchezo mwepesi kutokana na hali ya uwanja kutoruhusu kucheza mchezo wetu hivyo malengo yalikuwa kuhakikisha tunapata alama tatu ambazo kweli tumezipata. Hili tumemaliza na tunaelekeza nguvu zetu kwa Mtibwa Sugar. Morogoro see you soon. 

📸 @rabbihume
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Tuliingia uwanjani kupambana kupata ushindi lakini ikishindikana ipatikane hata sare lakini si kupoteza. Tumeondoka na alama moja na sasa tuna jukumu la kumaliza kazi nyumbani Tanzania. InshAllah tutamaliza kwa ushindi. 📸 @rabbihume

Tuliingia uwanjani kupambana kupata ushindi lakini ikishindikana ipatikane hata sare lakini si kupoteza. Tumeondoka na alama moja na sasa tuna jukumu la kumaliza kazi nyumbani Tanzania. InshAllah tutamaliza kwa ushindi.

📸 @rabbihume
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Tuliweka nia na tukajiandaa kwa kila namna kuhakikisha tunashinda mchezo huu na kufuzu robo fainali. Tumeweza kwa pamoja kama familia ya Simba. Pongezi kwa kila Mwanasimba 💪 📸 @rabbihume

Tuliweka nia na tukajiandaa kwa kila namna kuhakikisha tunashinda mchezo huu na kufuzu robo fainali. Tumeweza kwa pamoja kama familia ya Simba. Pongezi kwa kila Mwanasimba  💪

📸 @rabbihume
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Matokeo pekee yaliyohitajika ni ushindi na tumeupata. Asanteni kwa mashabiki wote waliojitokeza kutushangilia. Kazi inaendelea 📸 @rabbihume

Matokeo pekee yaliyohitajika ni ushindi na tumeupata. Asanteni kwa mashabiki wote waliojitokeza kutushangilia. Kazi inaendelea

📸 @rabbihume
Mohamed hussein 15 (@hussein15mo) 's Twitter Profile Photo

Karibu M15 TV Subscribe Channel yetu ili kupata Taarifa mbali mbali kila siku...🙏 M15TV GERISON MSIGWA Katibu mkuu wa wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa