Ms Bee🌹 (@iamcleopatricia) 's Twitter Profile
Ms Bee🌹

@iamcleopatricia

nikupe nini?

ID: 1144647639755120641

calendar_today28-06-2019 16:43:58

176,176K Tweet

180,180K Followers

11,11K Following

Ms Bee🌹 (@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Hawa wanaume sio mbwa, wala aina ya kitu chochote kinachoonekana kibaya ni wazuri tuu na wana huruma mno ni wanadamu wenye nyama na wanafanya maamuzi wakiwa na sababu!! Sisi wanawake tunawabadilisha mno kwa matendo yetu na midomo yetu wenyewe!!!

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO: Kiungo wa timu ya taifa ya Nigeria wanawake Ngozi Okobi ametangaza kuwa amejifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 30. Nyota huyo wa Super Falcons na klabu ya Levante Las Planas inayoshiriki ligi kuu ya wanawake Spain amethibitisha hilo kupitia katika

#MICHEZO: Kiungo wa timu ya taifa ya Nigeria wanawake Ngozi Okobi ametangaza kuwa amejifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 30.

Nyota huyo wa Super Falcons na klabu ya Levante Las Planas inayoshiriki ligi kuu ya wanawake Spain amethibitisha hilo kupitia katika
ᴹᵖ 💎 (@bojaniii) 's Twitter Profile Photo

Wajinga hudhani 👉sisi kurepost post Zao ni WAJIBU  👉Wao kurepost zetu wanachafua Brandi 👉Napenda Wazarendo Wenzangu "Mute button alerts"

Wajinga hudhani 
👉sisi kurepost post Zao ni WAJIBU  
👉Wao kurepost zetu wanachafua Brandi
 👉Napenda Wazarendo Wenzangu
           "Mute button alerts"
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

CHATU WA JIRANI NI CHATU WA MAELEKEZO..! Ghafla idadi ya watu waliomezwa na chatu wanasema imefika 185, wengine 250 na wengine 280 kuona Kila mtu analaani na kupinga vitendo vya kikatili vya chatu mmeza watu, taasisi za dini wakristo kwa waislamu kwa mara ya kwanza wamesimama

CHATU WA JIRANI NI CHATU WA MAELEKEZO..!

Ghafla idadi ya watu waliomezwa na chatu wanasema imefika 185, wengine 250 na wengine 280 kuona Kila mtu analaani na kupinga vitendo vya kikatili vya chatu mmeza watu, taasisi za dini wakristo kwa waislamu kwa mara ya kwanza wamesimama
Zee La Nyeti 𝕏 (@originozee17) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mzee Mmoja Posta Yeye Kazi Yake Kuuza Perfume Tu Tena Perfume Yenyewe Ni Moja Siku Zote Anazungusha Kwenye Magari Na Anakula Na Kunywa Na Nimeambiwa Anapanda Na Daladala Sasa Najiuliza Hapa Sipati Jibu 😃😃

TUNECHI🇦🇺 (@thereal_kabote) 's Twitter Profile Photo

Sisi tunaotumia usafiri wa pikipiki kurahisisha harakati zetu hapa mjini tunafanyiwa mambo ya hovyo sana Kuna muuni na demu wake na IST yao walitaka kupita na mguu wangu halafu walivyo na akili fupi wamekimbia Jambo ambalo nitawashangass yule demu namjua😄

TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye JUA KALI Judith alisema kapata kazi supermarket ila shift yake inaanza jioni kumbe kaamua kujiunga na team ya madam Simba. Mama Luka kaanza kupata doubt kazi na mshahara haviendani. Usikose leo saa 3:30 usiku ndani ya maisha magic bongo #MfalmeWaBoma

Ms Bee🌹 (@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Toka nmekuwa mama nmekua na tumbo sensitive ikija issue ya watoto na uzao kwa ujumla yaan kuna mambo nikiona kizazi kinavuta😭

hamza Lule (@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Bongo ukiwa na idea yoyote ukienda nayo kwa tajiri,watasema haifanyi kazi hyo Baadae unakuta tajiri anaitumia hyo hyo😂😂😂 Pale Azamuni ndo zao