Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile
Jr 

@imaajr_

Influencer || Life is too short to worry about silly things, have fun, love sincerely, regret nothing, and don't let people discourage you.

ID: 1617807029975801857

calendar_today24-01-2023 08:50:41

80,80K Tweet

13,13K Followers

3,3K Following

Lil_Dee😅 (@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐦𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚, 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐢𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐰𝐢𝐤𝐢 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐦𝐚. 𝐓𝐮𝐚𝐧𝐳𝐞 𝐰𝐢𝐤𝐞𝐧𝐝𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢 𝐟𝐮𝐩𝐢 𝐧𝐧𝐞 (𝟒) 𝐳𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚. 𝐒𝐭𝐨𝐫𝐢 : 𝐊𝐮𝐣𝐢𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐒𝐢𝐫𝐢

𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐦𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚, 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐢𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐰𝐢𝐤𝐢 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐦𝐚. 𝐓𝐮𝐚𝐧𝐳𝐞 𝐰𝐢𝐤𝐞𝐧𝐝𝐢 𝐲𝐞𝐭𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢 𝐟𝐮𝐩𝐢 𝐧𝐧𝐞 (𝟒) 𝐳𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚.

𝐒𝐭𝐨𝐫𝐢 : 𝐊𝐮𝐣𝐢𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐒𝐢𝐫𝐢
Moker 👁️ (@moker___) 's Twitter Profile Photo

HAKIKA MAMA ANAFANIKISHA BEI YA MAHINDI IMEKUWA NZURI 👏🏿🇹🇿. Utakapofika Ruvuma watakueleza jinsi wanavyonufaika na bei ya Mahindi maisha ya wakulima yamebadilika. Rais Samia amefanya makubwa Ruvuma. Shangwe kila mtaa wa Ruvuma.

Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨| EXCL 🇹🇿🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani ruvuma ambapo atashiriki katika Tamasha la utamaduni linatarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 5,000 hivyo kuwa fursa kubwa ya Kiuchumi pamoja

Fezakessy (@fezakessy_01) 's Twitter Profile Photo

Shangwe na vigelegele vimejaa kila mtaa, kwani sasa wanauza mazao yao kwa faida, wanasomesha watoto, na wanajenga maisha bora.

The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

HODI HODI MKOA WA RUVUMA WAKULIMA WANEEMEKA Wananchi Mbalimbali mkoani Ruvuma wameonesha kupendezwa na bei ya 700/= wanaouza mahindi tofauti na awali ambapo waliuza mahindi kwa 300/= Hii ni fursa nzuri kwa wananchi kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi mkoani Ruvuma maana faida

Ulimwengu🇦🇷 (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Sekta ya kilimo imeimalika sana katika mkoa wa Ruvuma, Maisha ya wakulima yamebadilika na yameimalika haswa kulinganisha na kipindi cha nyuma. Mazao yameongezewa thamani. Mama Samia anaendelea kuthibitisha kuwa Kilimo ni Biashara.

WildLife (@insaneclips2024) 's Twitter Profile Photo

HII NI KUBWA SANA🌽 Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amefanya makubwa Ruvuma👏🏽 Utakapofika Ruvuma, utashuhudia jinsi wakulima wanavyonufaika na bei nzuri ya mahindi. Maisha ya wakulima yamebadilika kwa kiasi kikubwa na sasa shangwe zinasikika kila mtaa wa Ruvuma. Kazi iendelee

Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya wakulima wa Ruvuma! Kwa mara ya kwanza, wakulima wanafurahia bei nzuri ya mahindi, ambayo imeboresha uchumi wa familia zao.

Korosho Media Tv (@koroshomedia) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli Kwamba Rais Samia ni mfano mzuri wa jinsi wanawake wanavyoweza kuleta mabadiliko katika jamii na katika uongozi. Linathibitika hili kupitia;Rais Samia ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Tanzania, jambo ambalo limefungua milango kwa wanawake wengi....

3. Diplomasia na Uongozi wa Amani, Kwa kuzingatia amani na umoja, Rais Samia amekuwa kiongozi ambaye anahakikisha kwamba tofauti za kisiasa zinashughulikiwa kwa njia ya mazungumzo. Hii inaonyesha kuwa wanawake wanaweza kuleta mtazamo wa ushirikiano na maridhiano katika siasa.

4. Mifano ya Maendeleo, Rais Samia amefanya kazi katika kuimarisha uchumi wa nchi, akijenga miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha maisha ya wananchi. Mchango wake katika maendeleo ya kiuchumi unathibitisha uwezo wa wanawake kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

RAIS WA MFANO AFRIKA ,TUNU YA WATANZANIA Motisha kwa Wanawake Wengine:Kwa kuwa na hadhi ya juu kama Rais, Rais Samia anatoa motisha kwa wanawake wengine kujiamini na kushiriki katika uongozi. Wengi wanaona kuwa inaweza kuwa na uwezekano wa kufikia malengo yao kupitia mfano wake.

RAIS WA MFANO AFRIKA ,TUNU YA WATANZANIA 
Motisha kwa Wanawake Wengine:Kwa kuwa na hadhi ya juu kama Rais, Rais Samia anatoa motisha kwa wanawake wengine kujiamini na kushiriki katika uongozi. Wengi wanaona kuwa inaweza kuwa na uwezekano wa kufikia malengo yao kupitia mfano wake.
Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Uwezo wake wa kuboresha sekta muhimu kama kilimo, viwanda, na nishati unathibitisha kwamba wanawake wanaweza kuleta mabadiliko makubwa na chanya katika jamii.

Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Kwa busara zake, ameweka msisitizo katika kushughulikia tofauti za kisiasa kwa njia ya mazungumzo, akionyesha kuwa uongozi wa wanawake unaleta mtazamo wa ushirikiano na maridhiano.

Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Kupitia uongozi wake wa kishujaa na hadhi yake kama Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania, ameweka alama isiyofutika ya motisha kwa wanawake kote barani Afrika.

Jr  (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Tanzania, ameweka historia na kufungua milango kwa wanawake wengi wenye ndoto za uongozi.