imanueli murianga (@imanuelimurian1) 's Twitter Profile
imanueli murianga

@imanuelimurian1

NOCK UNTIL IT OPENS, NEVER SAY NEVER UNTIL IT HAPPENS A Teacher an entrepreneur and influencer.

ID: 1403938970619322376

calendar_today13-06-2021 04:55:43

229 Tweet

159 Followers

1,1K Following

๐ณ๐ข๐ง๐ก๐จโš“๏ธ (@baharia98) 's Twitter Profile Photo

Siku nyingne tena Mungu ni mwema tumeamka salama Kukosa jana isikufanye leo ukavunjika moyo๐Ÿ’” Kukata tamaa ndio sababu kubwa yakuto fanikiwa na wala sio umaskini tulio ukuta kwenye familia zetu. Asubuhi njema

Siku nyingne tena 
Mungu ni mwema tumeamka salama
Kukosa jana isikufanye leo ukavunjika moyo๐Ÿ’”
Kukata tamaa ndio sababu kubwa yakuto fanikiwa na wala sio umaskini tulio ukuta kwenye familia zetu.   

Asubuhi njema
Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

๐๐€๐Œ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐“๐Ž๐€ ๐‡๐”๐ƒ๐”๐Œ๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐–๐€๐๐™๐€ ๐Š๐€๐“๐ˆ๐Š๐€ ๐Œ๐€๐‚๐‡๐Ž. Huduma ya Kwanza kwa mtu aliepata Dharura za macho zinahitaji matibabu ya haraka ili kuzuia uharibifu wa kudumu-UPOFU . ๐“๐‡๐‘๐„๐€๐ƒ;Repost and Share with others. {1|6}.Macho yaliyo Ingiliwa na

imanueli murianga (@imanuelimurian1) 's Twitter Profile Photo

Siku zote Mungu hajaacha kuwa mwaminifu kwa watu wake, hata kama unapitia magumu ya hii dunia daima usimwache Mungu wako mtazame yeye naye atakushindia. Nawatakia siku njema watu wa Mungu!!

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Upungufu wa vitamin B1 hupelekea kukosa hamu ya kula, udhaifu wa miguu, kupungua kwa hisia kwenye neva kudhoofika misuli na kuathirika kisaikolojia. VYAKULA VYENYE VITAMINI B1 KWA WINGI... 1. Nyama, kama vile ya nguruwe, nyama ya ng'ombe, na kuku. 2. Samaki na dagaa, Kula

Upungufu wa vitamin B1 hupelekea kukosa hamu ya kula, udhaifu wa miguu, kupungua kwa hisia kwenye neva kudhoofika misuli na kuathirika kisaikolojia.

VYAKULA VYENYE VITAMINI B1 KWA WINGI...

1. Nyama, kama vile ya nguruwe, nyama ya ng'ombe, na kuku.

2. Samaki na dagaa, Kula
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais, Taifa la Urusi linamuunga mkono Makamu wa Rais Kamala Harris ambaye amemrithi Biden katika tiketi ya Urais kupitia Chama cha Democratic. Akizungumza

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais, Taifa la Urusi linamuunga mkono Makamu wa Rais Kamala Harris ambaye amemrithi Biden katika tiketi ya Urais kupitia Chama cha Democratic.

Akizungumza
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#FUNGUKA: Kipi ni chanzo cha kuwepo kwa Single mothers wengi hivi sasa? Tuandikie comment yako, alafu sisi tutaruka nayo ndani ya #EastAfricaTV saa 9:00 Alasiri. #Funguka #EastAfricaTv #HainaKuchoka

#FUNGUKA: Kipi ni chanzo cha kuwepo kwa Single mothers wengi hivi sasa?

Tuandikie comment yako, alafu sisi tutaruka nayo ndani ya #EastAfricaTV saa 9:00 Alasiri.  

#Funguka #EastAfricaTv #HainaKuchoka
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume yeyote asiye na matatizo ya Upungufu/Kukosa Kabisa Nguvu Za Kiume Lazima Aweze Kuonyesha Yafuatayo; 1. Uume husimama ukiwa imara wenye nguvu siku zote. 2. Kukaa kifuani kwa muda mrefu, Wastani ni kati ya dakika 20-45 kwa mshindo mmoja. 3. Kuwa na uwezo wa kurudia

Mwanaume yeyote asiye na matatizo ya Upungufu/Kukosa Kabisa Nguvu Za Kiume Lazima Aweze Kuonyesha Yafuatayo;

1. Uume husimama ukiwa imara wenye nguvu siku zote.

2. Kukaa kifuani kwa muda mrefu, Wastani ni kati ya dakika 20-45 kwa mshindo mmoja.

3. Kuwa na uwezo wa kurudia