Ibrahim mongomongo (@imongomongo) 's Twitter Profile
Ibrahim mongomongo

@imongomongo

Busy all the time, more jokes little seriousness. Chelsea and yanga fan. Bachelor degree holder from udsm.

ID: 1289419135689134080

calendar_today01-08-2020 04:34:32

3,3K Tweet

105 Takipçi

276 Takip Edilen

王超 Wang Chao (@jemz_one) 's Twitter Profile Photo

Sasa nmeweza kuunganisha dots kati ya hii video na tweet ya Eric Benadi. Dead men tell no tales. Muhimu sativa yupo hai atasema kitu

Sasa nmeweza kuunganisha dots kati ya hii video na tweet ya Eric Benadi. Dead men tell no tales. Muhimu sativa yupo hai atasema kitu
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Kijana anayefahamika kwa jina la Edger Mwakabela ambaye mtandaoni anatumia jina la Sativa, ambaye hivi karibuni mitandao mbalimbali ilieleza kuwa alitoweka katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa na majeruhi kadhaa Kwa mujibu wa video inayosambaa mitandaoni

#HABARI Kijana anayefahamika kwa jina la Edger Mwakabela ambaye mtandaoni anatumia jina la  Sativa, ambaye hivi karibuni mitandao mbalimbali ilieleza kuwa alitoweka katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa na majeruhi kadhaa

Kwa mujibu wa video inayosambaa mitandaoni
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Police Force TZ unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina

Masoud Kipanya (@masoudkipanya) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeongeza maarifa.. Kumbe unaweza kuhukumiwa kifungo au faini, usipokuwa na faini unaenda jela lakini ikipatikana faini wakati wowote unaweza kutoka! Tumsaidie huyu @Eng_matarra aweze kutoka. Lolote linaweza kutokea na kwa mtu yoyote.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kati ya wagombea hawa kuna mmoja anafahamu kabisa kura yangu ningekuwa yake. Lakini kwa ajili ya kulinda hadhi ya chama changu cha mawakili na hadhi ya mawakili sintashiriki uchaguzi huu kwa TLS kumwondoa Adv. Mwabukusi kugombea nafasi hii pasipo haki. TLS for rule of law...

Kati ya wagombea hawa kuna mmoja anafahamu kabisa kura yangu ningekuwa yake. Lakini kwa ajili ya kulinda hadhi ya chama changu cha mawakili na hadhi ya mawakili sintashiriki uchaguzi huu kwa TLS kumwondoa Adv. Mwabukusi kugombea nafasi hii pasipo haki.

TLS for rule of law...
WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unakemea kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata Mwandishi wa habari ambaye pia ni mhariri wa Biashara na Mkuu wa Kitengo cha Mtandaoni (Digital) kutoka Gazeti la the Guardian pamoja na walimu kadhaa ambao idadi yao

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unakemea kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata Mwandishi wa habari ambaye pia ni mhariri wa Biashara na Mkuu wa Kitengo cha Mtandaoni (Digital) kutoka Gazeti la the Guardian pamoja na walimu kadhaa ambao idadi yao
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Sakata la Sukari limeendelea kuchukua sura mpya nchini baada ya wakulima wadogo wadogo wa Miwa kutoka Bonde la Kilombero, mkoani Morogoro kujitokeza mbele ya wanahabari hivi karibuni na kupinga mkakati wa serikali kupitia Bodi ya Sukari nchini na Wizara ya Kilimo

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Nqmpongeza sana yule aliyejiteka siku 29 na kujificha kwa.polisi. Pamoja na yule aliejiteka na hata kujipiga risasi porini. Magwiji hawa

Pdizaina (@pdizaina05) 's Twitter Profile Photo

C&P Hii imetokea mitaani kwetu Mbagala- Kijichi, jirani kwangu. Hiko hivi: Huyu mdada alikuta mtoto anacheza nje ya nyumba yao. Yule mdada alichokifanya nikumfunga kamba na kumweka kwenye Kiroba. Mama anatoka nje anakuta mtoto hayupo lakini viatu vimetelekezwa. Akawa na........

Fundi viatu na mabegi (@mshonaviatu) 's Twitter Profile Photo

NAOMBENI MSAADA TWITTER FAMILY Mohamed Mohammed ni ndugu yangu wa karibu sana pia ni mfanya kazi wa kampuni ya Premier Bet Tanzania ana shutumiwa kwa kesi ya mauaji bila kukusudia na kesho anapelekwa mahakamani na huenda akafungwa tena hata dhamana isiwepo kabisa kisa chote 👇

NAOMBENI MSAADA TWITTER FAMILY 

Mohamed Mohammed ni ndugu yangu wa karibu sana pia ni mfanya kazi wa kampuni ya Premier Bet Tanzania ana shutumiwa kwa kesi ya mauaji bila kukusudia na kesho anapelekwa mahakamani na huenda akafungwa tena hata dhamana isiwepo kabisa kisa chote 👇