Trojan Horse ๐ŸŽญ (@anon_codex) 's Twitter Profile
Trojan Horse ๐ŸŽญ

@anon_codex

๐Ÿ’ŽMulti-talented Proficient and creative WordPress Expert | Front End Dev | Mobile App dev๐ŸŽญ

ID: 1136546420335493126

linkhttp://hackthebox.io calendar_today06-06-2019 08:12:37

42,42K Tweet

10,10K Takipรงi

945 Takip Edilen

๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

IDK who need to hear this tupunguze kuomba omba vitu vidogo Ukiwa na smartphone una maisha mazuri zaidi ya watu wengi sana Binafsi nimewahi kula ugali na sukari ama ugali na chumvi kwetu sio kwa watu Ukizaliwa wa kiume pambana, ukikwama ishi na watu wako wa karibu๐Ÿ‘Š๐Ÿพ

๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒJamaicanSweetheart๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ (@localfundi_) 's Twitter Profile Photo

The words โ€œAsante Mwananguโ€ that come from a parent mean a lot. Jitahidi sana kama mtoto usiwasahau wazazi au walezi wako, iwe kwenye shida au raha. Maombi ya wazazi au walezi yana nguvu kubwa sana kwenye leo na kesho yako. Nyumbani ni Nyumbani.

Ayeem Ndimbo (@ally_ndimbo) 's Twitter Profile Photo

STAGING ENVIRONMENT. Naona wana wengi wa humu wanaumiza vichwa kwajili ya kubeti haya mm nimesha umiza kichwa changu miezi 3 kutengeneza bet predictor jaribuni hii mtanipa marejesho kwa siku unatumia mara 3 tu.! pred.ndimbo.pro Trojan Horse ๐ŸŽญ #TOTTechs ๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท

The Joker ๐Ÿƒ (@therealjoker_m) 's Twitter Profile Photo

2 Samweli : 11 : 3 Naye Daudi akapeleka, akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bath-sheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?

2 Samweli : 11 : 3 

Naye Daudi akapeleka, akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bath-sheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?
Trojan Horse ๐ŸŽญ (@anon_codex) 's Twitter Profile Photo

Kuliko ukose vyote hi dollar 64 nitamka nayo kesho ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kuliko ukose vyote hi dollar 64 nitamka nayo kesho

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Trojan Horse ๐ŸŽญ (@anon_codex) 's Twitter Profile Photo

Si vema mtu kuwa peke yake nitamfanyia msaada wa kufanana naye. Mwanzo 2:18 ๐Ÿ‘ฐ๐Ÿคตโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’All the best Martha & The Joker ๐Ÿƒ ๐Ÿซ‚๐Ÿคฒ๐Ÿฟ