Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile
Genious✍️

@chibelube

𝗜𝗻𝘀𝗽𝗶𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗧𝗮𝗹𝗸 | 𝗖𝗼𝗻𝘁𝗲𝗻𝘁 𝗰𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿 | 020 𝗟𝗶𝗳£📌

ID: 3224016201

linkhttps://www.tiktok.com/@chibelube_?_t=8b8rvrz0XMz&_r=1 calendar_today30-04-2015 10:08:38

71,71K Tweet

200,200K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Wanatupenda sababu tunawahudumia, Tunatatua shida zao kila zinapo wafika, Mwanamke asikushawishi Kubweteka, Ukibweteka tu, Atatafuta sehemu ambayo Atatatuliwa shida zake.

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Uzuri ni kwamba kuanzia Mimi, Wewe na Yule Wote Tutakufa, Madara na Fedha zako sio Chochote sio lolote, Tutakua na ya kujibu mbele ya Allah.

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Hii pumzi ya bure ndio inatupa kiburi, Ila chochote kibaya tunacho kifanya hapa Ulimwenguni, Mbele ya Mungu tutakitolea majibu!!!

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Unapata ugali wako na dagaa kila siku, Unaishi maisha yako, Ila kuna watu wanakuonea wivu tu Wanakuwinda Wakuumize Wafurahi.

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Unapo mzuia mwanamke wako kuongea, Tambua unatengeneza bomu ndani ya nyumba yako, Siku akiuchoka Udikteta wako Utapigwa Comeback ambayo Hautakuja kuisahau maishani mwako. Endelea kumfunga mdomo hivyo hivyo, Kazi ya mdomo ni kuongea ila wewe Hutaki mdomo uongee, Ok sawa Ipo siku.

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Jenga mahusiano na mtu ambae atakupush kufikia malengo yako, Kwa umri ulionao sio umri wa kuanza kuwaza, Why hajapokea wala kujibu sms zangu!!!!