Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile
Jambo TV

@jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID: 570641129

linkhttps://www.jambo.or.tz calendar_today04-05-2012 08:15:47

17,17K Tweet

936,936K Takipçi

41 Takip Edilen

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

📍VIDEO: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Jukwaa la mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali mwaka 2024 lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 6, 2024

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hapo mwakani 2025 serikali inakwenda kusimamia uchaguzi kwenye misingi huru na haki huku akitaka vyama vya siasa kutoa wagombea bora. Mtaka ameeleza hayo mara baada ya zoezi la

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hapo mwakani 2025 serikali inakwenda kusimamia uchaguzi kwenye misingi huru na haki huku akitaka vyama vya siasa kutoa wagombea bora.

Mtaka ameeleza hayo mara baada ya zoezi la
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara na wachuuzi wa eneo lililo karibu na Uwanja wa Liti, mkoani Singida, wamefanya mgomo wa kufunga barabara wakilalamikia mfumo mpya wa stakabadhi ghalani. Wanadai kuwa mfumo huo umewakandamiza kwa kuchelewesha mauzo ya mazao yao, hali ambayo imezidisha ugumu wa

Wafanyabiashara na wachuuzi wa eneo lililo karibu na Uwanja wa Liti, mkoani Singida, wamefanya mgomo wa kufunga barabara wakilalamikia mfumo mpya wa stakabadhi ghalani.

Wanadai kuwa mfumo huo umewakandamiza kwa kuchelewesha mauzo ya mazao yao, hali ambayo imezidisha ugumu wa
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: "TAMISEMI inajiandaa kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini pia kuna hoja ya watu kwenda Mahakamani kutaka kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo, sasa kuna makundi hayo ambayo yapo lakini mimi ninauona kama mjadala ambao una utata kidogo"- Askofu Mwamakula.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: "Tufike mahali tukae tujadiliane tukubaliane uchaguzi huu (Wa Serikali za Mitaa) utakwendaje, iwe TAMISEMI au Tume ya Uchaguzi ndiyo itakayosimamia huo uchaguzi, hapo ndipo inabidi tukubaliane"- Askofu Mwamakula Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian Tanzania Emmaus

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na

VIDEO: Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Dkt. Doto Biteko ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya Kitanzania na kamwe yasikubali iwe kwa njama au gharama yoyote kutolewa kwenye maadili hayo. Biteko ameyasema hayo Ijumaa Septemba 6,

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah ametoa wito kwa viongozi wa majeshi kutoa vipaumbele kwa watu wenye vipaji vya michezo ili kuimarisha dhana ya michezo kama ajira. Ameyasema hayo katika mashindano ya michezo ya Baraza la

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wa shehia za Kibokoni na Vitongoji wilayani Chake Chake visiwani Zanzibar wamependekeza kuanzishwa kwa dawati maalum la siri litakalowahudumia pale wanapokumbwa na ukatili kutoka kwa wake zao. Wakati wa kongamano lililofanyika Septemba 5, 2024, na kuandaliwa na PACSO

Wanaume wa shehia za Kibokoni na Vitongoji wilayani Chake Chake visiwani Zanzibar wamependekeza kuanzishwa kwa dawati maalum la siri litakalowahudumia pale wanapokumbwa na ukatili kutoka kwa wake zao.

Wakati wa kongamano lililofanyika Septemba 5, 2024, na kuandaliwa na PACSO
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku kadhaa amekutwa ametupwa kwenye shimo la choo katika mtaa wa Idundilanga halmashauri ya mji wa Njombe huku mama yake akiwa bado hajatambulika. Fioteus Ngilangwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo amesema alipokea taarifa ya

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku kadhaa amekutwa ametupwa kwenye shimo la choo katika mtaa wa Idundilanga halmashauri ya mji wa Njombe huku mama yake akiwa bado hajatambulika.

Fioteus Ngilangwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo amesema alipokea taarifa ya
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amemfuta kazi waziri wa haki za binadamu Silvio Almeida, kufuatia madai ya kuwanyanyasa kingono wanawake kadhaa, akiwemo waziri mwenzake. Taarifa ya ofisi ya rais imesema kuwa "rais anaona ni jambo lisilofaa kuendelea kumweka waziri

Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amemfuta kazi waziri wa haki za binadamu Silvio Almeida, kufuatia madai ya kuwanyanyasa kingono wanawake kadhaa, akiwemo waziri mwenzake. 

Taarifa ya ofisi ya rais imesema kuwa "rais anaona ni jambo lisilofaa kuendelea kumweka waziri
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Nilipokea taarifa usiku ya kwamba majira kwa kadiri ya maelezo niliyopewa kama saa kumi na mbili na ushehe hivi kulitokea tukio, naliita la kutekwa siyo kukamatwa kwa Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni mjumbe wa sekretarieti ya chama taifa (CHADEMA), tukio hilo limetokea maeneo

“Kwa aina ya bunduki walizokuwa nazo hao watu waliokuja kumchukua (Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni mjumbe wa sekretarieti ya chama taifa (CHADEMA)) kwenye basi si bunduki ambazo kwa kawaida hutumiwa na Jeshi la Polisi, ni bunduki ambazo hutumiwa na Idara ya Usalama wa

“Kwa mujibu wa ratiba hii ilisema kuanzia tarehe 30 Agosti mpaka tarehe 17 septemba 2024 ni wakati wa taasisi mbalimbali kuwasilisha maombi ya kuangalia uchaguzi, leo ni tarehe 7 zimebaki siku kumi peke yake. Kuna umuhimu sana kukiwa na waangalizi wengi wa uchaguzi kwa hiyo natoa

Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba

Wakulima wilayani Nyang’hwale, mkoani Geita, wamelalamikia kutokuwepo kwa faida ya mazao wanayolima, hususan dengu, kutokana na ukosefu wa mfumo mzuri wa bei za mazao hayo Hata baada ya kuanzishwa kwa mfumo mpya wa stakabadhi ghalani, hali bado haijabadilika kwani mfumo huo