Mwanaisha Mndeme (@mwanaishamndeme) 's Twitter Profile
Mwanaisha Mndeme

@mwanaishamndeme

Advocate,Notary Public & Commissioner for Oaths|Secretary for Foreign Affairs|Shadow Minister for Industry and Trade @ACTWazalendo|Tanzanian

ID: 978577444239265792

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today27-03-2018 10:20:18

16,16K Tweet

12,12K Takipçi

602 Takip Edilen

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Bunge lichunguze ukiukwaji wa haki za binadamu na kusitisha operesheni ya kuwaondoa Wananchi katika Vijiji 11 Kaliua Tabora." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

"Bunge lichunguze ukiukwaji wa haki za binadamu na kusitisha operesheni ya kuwaondoa Wananchi katika Vijiji 11 Kaliua Tabora."

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
Maharagande Mbarala

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACT-Wazalendo kimelaani kitendo cha Takribani kaya 7,000 katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora huku wakidai kuwa watu 12 wameuwa kutokana na operesheni hiyo ya kuwahamisha wananchi iliyofanywa na Serikali ikidai kuwa wananchi hao wamevamia eneo la

Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

"Bunge lichunguze ukiukwaji wa haki za binadamu na kusitisha operesheni ya kuwaondoa Wananchi katika Vijiji 11 Kaliua Tabora." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

"Bunge lichunguze ukiukwaji wa haki za binadamu na kusitisha operesheni ya kuwaondoa Wananchi katika Vijiji 11 Kaliua Tabora."

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria
Maharagande Mbarala

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Tunataka Mkuu wa Wilaya ya Kaliua na Mkuu wa Mkoa wa Tabora wawajibishwe kwa ushirika wao wa kuruhusu vikosi vya Ulinzi JWTZ, wanamgambo na askari wa TFS kufanya uonevu kwa wananchi wa Vijiji vya ISAWIMA." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote

Abdul Nondo 🇹🇿 (@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Vijana mara nyingine huwa tunapitia changamoto kadhaa na maumivu katika majukumu yetu ila pale ambapo viongozi wakubwa na mahiri wanatambua jitihada kidogo tunazofanya vijana katika taasisi hizi mbali na mapungufu yetu ,hili hutuongezea nguvu na ari. Ahsante sana Babu Duni.

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Uzi Picha na matukio ya katika shughuli ya kusherehekea utumishi wa Mwenyekiti Mstaafu Babu Duni. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili ACTWazalendo

Uzi
Picha na matukio ya katika shughuli ya kusherehekea utumishi wa Mwenyekiti Mstaafu Babu Duni.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

ACTWazalendo
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Babu Duni: ACT-Wazalendo Honours One of the Most Iconic Figures in Tanzania’s History of Political Liberalisation thechanzo.com/2024/09/05/bab…

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

KC Dorothy Semu ameteua Kamati ya Wasemaji wa Kisekta ya ACTWazalendo Zanzibar. Kamati imepewa majukumu ya kusimamia Serikali ya Zanzibar kwa niaba ya Wananchi kisera, kisheria, kiutendaji na kuhakikisha katiba ya Zanzibar inafuatwa. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

KC Dorothy Semu ameteua Kamati ya Wasemaji wa Kisekta ya ACTWazalendo Zanzibar. Kamati imepewa majukumu ya kusimamia Serikali ya Zanzibar kwa niaba ya Wananchi kisera, kisheria, kiutendaji na kuhakikisha katiba ya Zanzibar inafuatwa.

#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Mwanaisha Mndeme (@mwanaishamndeme) 's Twitter Profile Photo