TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile
TanzMED

@tanzmed_africa

Digital platform which power the future of healthcare with end-to-end healthcare solutions, products, big data analytics and AI.
Get App linktr.ee/tanzm

ID: 845933241873895424

linkhttps://linktr.ee/tanzmed_africa calendar_today26-03-2017 09:39:36

821 Tweet

543 Takipçi

180 Takip Edilen

TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Jana tulikuwa na fursa ya kueleza jinsi TanzMED imesaidia watu katika kujua #Afya zao. Ndani ya TanzMED unaweza kupata Afya ya Wanawake, Afya ya Akili, Lishe Bora na Usahuri kutoka kwa Madaktari bingwa. #TanzMED #afya #kijananahodha #ubaoni #efmtanzania

Jana tulikuwa na fursa ya kueleza jinsi TanzMED imesaidia watu katika kujua #Afya zao. Ndani ya TanzMED unaweza kupata Afya ya Wanawake, Afya ya Akili, Lishe Bora na Usahuri kutoka kwa Madaktari bingwa.

#TanzMED #afya #kijananahodha #ubaoni #efmtanzania
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Tumia mboga za aina mbalimbali ili kupata virutubisho vya aina mbalimbali. Hii ni pamoja na mboga za kijani kibichi kama spinachi, kale, na brokoli; mboga za rangi kama pilipili na karoti; na mboga za mizizi kama viazi vitamu na beetroot. Happy Week #monday #tanzmed #happyweek

Tumia mboga za aina mbalimbali ili kupata virutubisho vya aina mbalimbali. Hii ni pamoja na mboga za kijani kibichi kama spinachi, kale, na brokoli; mboga za rangi kama pilipili na karoti; na mboga za mizizi kama viazi vitamu na beetroot.

Happy Week
#monday #tanzmed #happyweek
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Kutana na Dr Mariki Dimosso akizungumzia athari za mitandao ya kijamii katika afya ya akili siku ya tar 28/08/2024, njoo tuzungumze pamoja. #afyayaakili #tanzmedspace #kijananahodha #kijanavunjaukimya XSpace link 👇🏽 x.com/i/spaces/1lDxL…

Kutana na Dr Mariki Dimosso akizungumzia athari za mitandao ya kijamii katika afya ya akili siku ya tar 28/08/2024, njoo tuzungumze pamoja.
#afyayaakili #tanzmedspace #kijananahodha #kijanavunjaukimya

XSpace link 👇🏽 x.com/i/spaces/1lDxL…
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Kumekua na mlipuko barani Africa, nchi za jirani pia zimetangaza kua na wagonjwa wa mpox. Hivi karibuni hata mabara mengine yameanza kutangaza uwepo wa ugonjwa huu kwa kasi, je unajua Mpox ni NIni? Soma zaidi : bit.ly/3XaLObc #mpoxvirus #mpox #TanzMED #AfyaKwaWote

Kumekua na mlipuko barani Africa, nchi za jirani pia zimetangaza kua na wagonjwa wa mpox. Hivi karibuni hata mabara mengine yameanza kutangaza uwepo wa ugonjwa huu kwa kasi, je unajua Mpox ni NIni?
Soma zaidi : bit.ly/3XaLObc

#mpoxvirus #mpox #TanzMED #AfyaKwaWote
ANODI KAIHULA (@anodikaihula) 's Twitter Profile Photo

I had the privilege to witness the #THS2024 CHIA innovation 💡award live pitching event for the top ten young innovators pitching today at Protea Courtyard Hotel. Akili Yangu, TanzMED, and Automated Suction Machine have emerged as the top three. These innovations are

I had the privilege to witness the #THS2024 CHIA innovation 💡award live pitching event for the top ten young innovators pitching today at Protea Courtyard Hotel.
Akili Yangu, TanzMED, and Automated Suction Machine have emerged as the top three. These innovations are
🌙 Catherine Kapilima (@ckapilima) 's Twitter Profile Photo

ANODI KAIHULA TanzMED Dr.Buguzi Tanzania Health Summit Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Wizara ya Afya Zanzibar Thank you 🙏🏿🙏🏿We’re excited to have the opportunity to pitch again at the #THS2024 We truly appreciate the platform and support provided. To stay updated on our progress, please check out the #TanzMEDApp available on iOS and Android. Looking forward to what’s ahead #CHIAAwards

ANODI KAIHULA TanzMED Dr.Buguzi Tanzania Health Summit Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Wizara ya Afya Zanzibar Thank you 🙏🏿🙏🏿We’re excited to have the opportunity to pitch again at the #THS2024 We truly appreciate the platform and support provided. To stay updated on our progress, please check out the #TanzMEDApp available on iOS and Android. Looking forward to what’s ahead #CHIAAwards
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Our outreach team, together with our doctors participated in the Selous Marathon 2024. It was an incredible experience, especially following the launch of our new version.

Our doctors first aid & emergency support at the Selous Marathon 2024! We also gave users the chance to meet with our experts for personalized health advice and consultations. Proud to support our community with real-time care! #Healthcare #SelousMarathon

TanzMED has made it to the final stage of the CHIA Innovation Award at #THS2024! Our AI-driven solution, empowering youth with easy access to mental health services, has been recognized, and we're excited for the next step. #THS2024 #CHIAAwards #MentalHealth #HealthTech

TanzMED has made it to the final stage of the CHIA Innovation Award at #THS2024! Our AI-driven solution, empowering youth with easy access to mental health services, has been recognized, and we're excited for the next step.

#THS2024 #CHIAAwards #MentalHealth #HealthTech
Tanzania Health Summit (@tzhealthsummit) 's Twitter Profile Photo

We are excited to highlight the top three innovative solutions from the CHIA Innovation Awards: Akili Yangu, TanzMed, and the Automated Suction Machine. These cutting edge ideas have been selected to pitch at the 11th Tanzania Health Summit, where they will have the opportunity

We are excited to highlight the top three innovative solutions from the CHIA Innovation Awards: Akili Yangu, TanzMed, and the Automated Suction Machine. These cutting edge ideas have been selected to pitch at the 11th Tanzania Health Summit, where they will have the opportunity
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Je unajua kuhusu ugonjwa wa Usonji? Pata elimu zaidi kuhusu ugonjwa huo jinsi unavyoathiri maisha ya watu, na njia za kuwasaidia. Soma zaidi 👉 bit.ly/3T48HuI #kijananahodha #Usonji #usonji #afyayaakili #afyakwawote #TanzMED

Je unajua kuhusu ugonjwa wa Usonji? Pata elimu zaidi kuhusu ugonjwa huo jinsi unavyoathiri maisha ya watu, na njia za kuwasaidia.

Soma zaidi 👉 bit.ly/3T48HuI

#kijananahodha #Usonji #usonji #afyayaakili #afyakwawote #TanzMED
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Yoga Awareness Month is a reminder to find balance in every aspect of life. #TanzMED #YogaMonth #afyakwawote #kijananahodha #healthylifestyle

Yoga Awareness Month is a reminder to find balance in every aspect of life.

#TanzMED #YogaMonth #afyakwawote #kijananahodha #healthylifestyle
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Pata msaada wa kitabibu kwa urahisi kupitia app ya TanzMED. Afya yako iko mkononi mwako. #TanzMED #tanzmed #telehealth #afyakwawote

TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Hali ya ADHD (Uzingativu Hafifu) si uvivu au uzembe, ni hali ya kiafya inayohitaji uelewa na msaada. Tuongeze uhamasishaji kuhusu changamoto wanazokabiliana nazo waliyo nayo watoto. Soma Makala yote: bit.ly/4gorhrs #TanzMED #adhd #adhdlife #adhdsupport #adhdparenting

Hali ya ADHD (Uzingativu Hafifu) si uvivu au uzembe, ni hali ya kiafya inayohitaji uelewa na msaada. Tuongeze uhamasishaji kuhusu changamoto wanazokabiliana nazo waliyo nayo watoto.

Soma Makala yote:  bit.ly/4gorhrs

#TanzMED #adhd #adhdlife #adhdsupport #adhdparenting
TanzMED (@tanzmed_africa) 's Twitter Profile Photo

Introducing TanzMED Pro for healthcare professionals! From doctors to therapists, we're connecting providers with patients like never before. Enhance care delivery better, faster healthcare. Register today forms.gle/omzNYyJwid7v5q… #TanzMEDPro #Telemedicine

Mirembe National Mental Health Hospital (@mirembe_hosptz) 's Twitter Profile Photo

"Kumuadhibu aliyejaribu kujiua ni kumuongezea Adhabu mara mbili" Venant Mligo Afisa Ustawi wa Jamii katika mdahalo wa Leo katika Maadhimisho ya Siku ya kuzuia kujiua Duniani. #AnzaKulizungumzia #AfyaYaAkiliNiAfya #BadoUnathamani

"Kumuadhibu aliyejaribu kujiua ni kumuongezea Adhabu mara mbili"  Venant Mligo Afisa Ustawi wa Jamii katika mdahalo wa Leo katika Maadhimisho ya Siku ya kuzuia kujiua Duniani.
#AnzaKulizungumzia
#AfyaYaAkiliNiAfya
#BadoUnathamani
Smart Lab (@smartlab255) 's Twitter Profile Photo

Hear how GlobalStartupAwards Africa for the Eastern Africa Startup Awards regional finale changed the game for this startup and transformed Mkata Nyoni's, CEO and Co-founder of TanzMED, a healthcare digital platform, helping them reach new heights.

🌙 Catherine Kapilima (@ckapilima) 's Twitter Profile Photo

With more than 100 test interactions using #AminaMD, we achieved 80 downloads and full sign-ups in less than 8 hours. Huge thanks to #UsaidKijanaNahodha , Skuli ya Tumekuja and Zanzibar at large for your support #CHIAAwards2024 #THS2024