Tanzania Bound Buses
@tboundbuses
Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini.
Powered by Bus Community
ID: 3624270502
https://twitter.com/i/communities/1563434978003718144 11-09-2015 21:11:16
84,84K Tweet
53,53K Takipçi
2,2K Takip Edilen
#PremierLine Mwanza Mbeya Tunduma Nakupa hi unabeba mchele au sato buree 🔥 Alexander Aj 📸
KATARAMA ameleta shidaa kwa wengii😆 Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses LATRA wanaruka na kila chuma hapa Igumbilo wanakagua King’amuzi hakieleweki unapaki hapahapa na abiria wako.!
Hii chuma toka saa moja Asubuhi imepigwa pini hapa Igumbilo stend, Latra wamefaurisha Abiria wote yenyewe imebaki imekuja kuachiwa saa kumi na moja hii ya Jioni inarudi zake tu aubaruku kuanzia na moja😝 Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses