Zahoro Muhaji (@zmuhaji) 's Twitter Profile
Zahoro Muhaji

@zmuhaji

Ordinary person. Among the founders and CEO for @TanzaniaSA. My mantra “There is a World out there”. Wellbeing-Prosperity- The pursuit of Happiness.

ID: 2861079091

calendar_today17-10-2014 19:41:42

13,13K Tweet

7,7K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

"South Korea offers many opportunities for Tanzania, including scholarships, research, and partnerships. As one of South Korea’s seven priority countries, we’re well-positioned to benefit from 70% of their ODA to Africa. Let's seize these chances!" ~Amb. Togolani Mavura

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Benki ya NMB Bank Plc imetiliana saini Hati ya Mashirikiano na Korea Finance for Construction Corporation (KFINCO) kuhusu kushirikiana katika masuala ya mikopo na dhamana kwa makampuni ya ujenzi. Hati hizo zilitiwa saini na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ruth Zaipuna na Rais wa

Benki ya NMB Bank Plc imetiliana saini Hati ya Mashirikiano na Korea Finance for Construction Corporation (KFINCO) kuhusu kushirikiana katika masuala ya mikopo na dhamana kwa makampuni ya ujenzi.

Hati hizo zilitiwa saini na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ruth Zaipuna na Rais wa
Rose Rwegasira (@rosethrwegasira) 's Twitter Profile Photo

Dar es salaam, we are hosting a Mixer for women in innovating and tech . The mixer is for all ladies working as techies and non tech in tech companies, Founders of businesses and anyone wahna work in tech company lu.ma/ykwotewy

Zahoro Muhaji (@zmuhaji) 's Twitter Profile Photo

Bado natamani sana tubadili mtizamo wa kua ulichosomea chuoni ndio ukakifanye maishani. Elimu ya Chuo kikuu ambayo ni knowledge based, ipo kutanua uelewa wako na kukufanya uwe rahisi kufundishika. Kama nchi tuendelee kuwekeza kwenye post graduate training for jobs. Watu wenye

Zahoro Muhaji (@zmuhaji) 's Twitter Profile Photo

SALUTE. Tanzania People’s Defence Forces(TPDF). Thank you for your service.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

SALUTE. Tanzania People’s Defence Forces(TPDF). Thank you for your service.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzania Embassy I Korea ( 주한탄자니아대사관) (@ubalozikorea) 's Twitter Profile Photo

Katika juhudi za Ubalozi wa Tanzania Seoul kueneza Lugha yetu ya Kiswahili, Mhe. Balozi Togolani Mavura amefanya Mahojiano na televisheni maarufu nchini Korea ijulikanayo kama Arirang kuhusu Lugha ya Kiswahili na umuhimu wake.

Zahoro Muhaji (@zmuhaji) 's Twitter Profile Photo

Stars haina kocha! Tutafute kocha wa maana. Unacheza nyumbani vs Ethiopia, unajilinda! Halafu kweli hii timu ya kumuacha Mbwana Samatta na Msuva kweli?

Mark J. Mwandosya (@markmwandosya) 's Twitter Profile Photo

Walter Bgoya, author and icon of publishing in #Africa, has received the Outstanding African Studies Award of the African Studies Association of #UK. He is Chairman and Founder of Mkuki na Nyota. Please join me in congratulating this #Tanzanian unsung hero. Oxford Brookes University

Walter Bgoya, author and icon of publishing in #Africa, has received the  Outstanding African Studies Award  of the African Studies Association of  #UK.     He is Chairman and Founder of Mkuki na Nyota. Please join me in congratulating this #Tanzanian unsung hero.
Oxford Brookes University
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Nimewapokea Mheshimiwa Innocent Bashungwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Mheshimiwa Deo Ndejebi, Waziri wa WIZARA YA ARDHI jijini Seoul. Nimepata wasaa wa kuwapatia taarifa ya maandalizi ya ushiriki wao kwenye Global Conference for Infrastructure Development. Ushiriki wao ni matokeo