jenny🌹 (@jennieleo28) 's Twitter Profile
jenny🌹

@jennieleo28

Be the best version of you.

ID: 1758733571466899456

calendar_today17-02-2024 06:02:47

15,15K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

pot ov joy 😂🥰 (@miria24054) 's Twitter Profile Photo

Don’t become so absorbed in the pursuit of love from others that you forget to nurture the most important love of all—self-love. Only by embracing and valuing yourself can you achieve true fulfillment. Without self-love, there will always be a void within you...💜

Ezekiel_Son (@devis_ezekiel) 's Twitter Profile Photo

Nini kinafanya usile mchana mkuu🤔 A; Bado sijajipata kimaisha B; Nafuata mkumbo kwa wahuni C; Nimeanza kunenepa nataka nikonde D; Sielewi chochote

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Sema kuna laana zingine tunazitafuta kwa nguvu sana Unakuta wazazi wawili walipambana kuwalea watoto watano na wakaweza bila shida watoto wamekua na wazazi wao wamezeeka hao watoto watano wanashindwa kuwalea wazee wawili tu, inasikitisha sana Kama sio laana ni nini?

ᴹᵖ 💎 (@bojaniii) 's Twitter Profile Photo

Afrika Hatuna Professional  Tukianza kwa Akina Dada Akipata Pesa anawaza kuwa huru Kama kaolewa Ataachika tu 👉Hajui Standard Wapi Aweke na Wapi Asiweke. Sio kwamba Wanaume Tunakataa Nyie Kufanya biashara kwamba ni Wivu hapana Ni vile Hamuwez ku Master Ego 85%

Afrika  Hatuna Professional 
Tukianza kwa Akina Dada Akipata Pesa anawaza kuwa huru 
Kama kaolewa Ataachika tu 
👉Hajui Standard Wapi Aweke na Wapi Asiweke.
Sio kwamba Wanaume Tunakataa Nyie Kufanya biashara kwamba ni Wivu hapana Ni vile Hamuwez ku Master Ego 85%
Ahmad👣 (@rajuquire) 's Twitter Profile Photo

Ubaya wa sufuria za siku hizi zinachelewa sana kushika moto, cha ajabu wapishi ndiyo wanalaumiwa hata pamoja na jitihada wanazofanya kuchochea moto, tatizo siyo mpishi ila ni miko na wapishi waliotangulia kupikia chakula kwenye sufuria hilo hilo. Wapishi wengi huharibu mchuzi.

it's.26 (@arafat__9) 's Twitter Profile Photo

Umekaa zako mwenyew na Mawazo yako, anakuja mtu anakwambia Mapenzi yanauma, usiwe karibu yangu nakuwasha kibaoo kimoja tu, unajua Machungu ya kutafuta 5M impression😂

Umekaa zako mwenyew na Mawazo yako, anakuja mtu anakwambia Mapenzi yanauma, usiwe karibu yangu nakuwasha kibaoo kimoja tu, unajua Machungu ya kutafuta 5M impression😂
Game_Changer🇹🇿 (@ntwinagerfrid) 's Twitter Profile Photo

💠Habari za muda huu familia, kuna hili jambo naomba kuwashirikisha Kuna mtoto wa mwenzetu hapa Dodoma na yupo hapa X ana changamoto ya kiafya. Maelezo kamili ya mtoto shuka nayo🧵🧶✍🏽🙏🏽🙏🏽

💠Habari za muda huu familia, kuna hili jambo naomba kuwashirikisha

Kuna mtoto wa mwenzetu hapa Dodoma na yupo hapa X ana changamoto ya kiafya.

Maelezo kamili ya mtoto shuka nayo🧵🧶✍🏽🙏🏽🙏🏽