'''€£$ (@joely217) 's Twitter Profile
'''€£$

@joely217

chelsea
music 🎧🎧🎧

ID: 1612433753703333890

calendar_today09-01-2023 12:59:40

114,114K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

MARADONA (@chambirijr_) 's Twitter Profile Photo

“EVERYONE HAS A STORY TO TELL, BE WILLING TO HEAR IT BEFORE JUDGING” Inaki Williams, Elder brother wa mchezaji wa Spain mwenye kipaji na mshindi wa Euro 2024, Nico Williams, alikuwa na umri wa miaka 20 tu alipo muuliza mama yake, “Tuliwezaje kufika Hispania?” Mama yake

“EVERYONE HAS A STORY TO TELL, BE WILLING TO HEAR IT BEFORE JUDGING”

Inaki Williams, Elder brother wa mchezaji wa Spain mwenye kipaji na mshindi wa Euro 2024, Nico Williams, alikuwa na umri wa miaka 20 tu alipo muuliza mama yake, “Tuliwezaje kufika Hispania?”

Mama yake
𝐒𝐄𝐍𝐈𝐎𝐑😅 (@seniorking01) 's Twitter Profile Photo

Hii si kuwa ni kuweka tu mikono just for funy no Tunaiita Powerfull Hand MUDRAS to gain Domination over group Nazani hiki kitu wengi huwachanganyaa sana.

Hii si kuwa ni kuweka tu mikono just for funy no 
Tunaiita Powerfull Hand MUDRAS to gain Domination over group

Nazani hiki kitu wengi huwachanganyaa sana.
simo_northern47 (@slello47) 's Twitter Profile Photo

Hii ishu ya wazee na wamama wenye watoto kutembea kariakoo kuomba ela inanikata kisenge unakuta ni asubuhi mtu anakuja kukuomba ela me nafukuzaga kmkee.

Sergio Chalz (@sergiochalz) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka 2021 kwenye msiba wa grandpa kuliandaliwa meza flani na wahudumu kwaajili ya wageni rasmi waje kula apo. Ndugu yangu mmoja akavizia wamemaliza kuandaa kabla hao sijui ndo wageni kuitwa akaniambia mimi twende tukaanze kula pale huu msiba ni wa babu yetu wasitupangie😂

Iam Salum Ally (@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

Barua ya wazi kwa Salim kikekee Salim Kikeke na sisi Wananchi wa Singida tulikuwa tunaomba Crown FM iwe inasikika Huku Singida tumechoka kuhadithiwa ✍🏿

CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

RT❄️🏆🏆👀 Kipindi hiki ambacho ligi zimeanza kurudi DamianTips atakupa mikeka ya yenye uhahika mkubwa wa ushindi kupitia masoko mbali mbali, BUREEEE.🧵 Hapo chini nimekuwekea baadhi ya tickets ya ushindi 💯 JOIN TELEGRAM CHANNEL BUREE BILA KULIPIA t.me/DamianTips

RT❄️🏆🏆👀

Kipindi hiki ambacho ligi zimeanza kurudi <a href="/iamdamiano22/">DamianTips</a> atakupa mikeka ya yenye uhahika mkubwa wa ushindi kupitia masoko mbali mbali, BUREEEE.🧵

Hapo chini nimekuwekea baadhi ya tickets ya ushindi 💯

JOIN TELEGRAM CHANNEL BUREE BILA KULIPIA

t.me/DamianTips